Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Umbea kunogaaa, looh
 
Sasa tutegemee nini km ni shangazi yako kuwa utakuja kumponda hapa,?! Erasto hakuwa analala. Na anat......?!
Huyu Ant yako hakuwa analalamika chumba namba 7 Na, antuj ambaye ni dd wa erasto baada ya kugundua mashart ya mganga wenu yanasema alale Na mama au ndugu zake?! Chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa
Natamami miwe mpelelezi wa hii kesi jaman, mbona patamu
 
hata kama ni mimi ndugu wa erasto nisingekubali mali za ndugu yangu ziliwe na mwanaume mwingine....Hizo mali za erasto zirudi kwa ndugu zake pamoja na watoto wake ...mama saimoni aende akatunzwe na huyo mume wake mpya
 
Mama saimon hajaolewa na hao ndugu hata wakipewa Mali hawatawasaidia watoto wa kaka yao coz walishawakana kuwa hawawatambui kama watoto wa familia wakipewa hizo Mali watoto wa marehemu watateseka na pia erasto alitafuta Mali kwa ajili ya familia yake mkewe na watoto na sio ukoo mzima wa wasuya mirathi yao walishapewa Mali zilizobaki erasto aliandika ziwe chini ya uangalizi wa mke wake kwa ajili ya watoto wake
 
Hayo ni maagano ya familia yao ya wasuya wala mama saimon hakushiriki ni kweli antuja alikuwa anatembea na kaka yake na hayo maagano yao itakuwa wanayaendeleza ndio maana wanakufa na wewe chunguza tarehe aliyokufa erasto ndio aliyokufa anathe
 
Haaa ok

Ngoja nilale nikiamka ntaendelea kusoma
 
Nakuunga mkono mkuu...
Beki 3 zngne ovyooo kbs
 
Hayo ni maagano ya familia yao ya wasuya wala mama saimon hakushiriki ni kweli antuja alikuwa anatembea na kaka yake na hayo maagano yao itakuwa wanayaendeleza ndio maana wanakufa na wewe chunguza tarehe aliyokufa erasto ndio aliyokufa anathe
Erasto Simon Msuya aliuawa tarehe 07/08/2013.

Aneth Simon Msuya aliuawa tarehe 27/05/2016.

Huyu Erasto alishafariki na hana uwezo wa kujieleza kuhusu hayo anayotuhumiwa kuwa aliyafanya. Mimi nilibahatika kuzungumza nae kuhusu hiyo tuhuma yangu "incest". Nakumbuka alinijibu hivi "kaka katika jambo linaloniuma roho katika maisha yangu ni kupewa kashfa kuwa natembea na dada yangu. Lakini ipo siku Mungu atawadhihirishia hao mahasimu wangu ukweli kuhusu hilo jambo. Hebu chukulia picha wewe utembee na dada yako wa kuzaliwa nae, utaanzaje na wanawake wamejazana kila kona? Nilianza kushika pesa nikiwa mdogo wakati niko Advance, Makumira Sec, nilikuwa nikitoka shule kipindi cha likizo naenda kuzama mgodini kama nyoka wa viongozi wa MAREMA, nikawa napata hela, isipokuwa watu wanaona kama nilipata pesa ghafla kumbe nimefight sana ila Mungu ndiye anayejua".

Kwahiyo moyo wa mwanadamu ndio unaojua kilichpo ndani. Tuache kuzungumza maneno ambayo hayana ukweli wala faida. Tuzungumzeni tunayoyafahamu na tusiyoyafahamu tusitunge uongo ili uonekane unajua.
 
Nifah,
It is possible, in law we say and believe that; when doubt creates doubt.....doubt prevails. Kuna uwezekano mkubwa Vifo vya hawa watu wa2 mtu na kaka yake, beyond readonable doubt vinatokana na huyu mwana mama mke wa marehemu Erasto.
Kwa kuwa ni mwanamke sina wasi wasi atasema tu.
Damu ya mtu haiendi bure na kwa mwanamke hata awe jasiri vipi hawezi vumilia hivi sasa anajuta na kutahayari na kulia kwa kusaga meno kwa nini alifanya.
Police wazingatie ushahidi wao kwa kuchukua statement of alibi yake ushahidi wa kuunga mkono tayari wanao ambao kisheria unaitwa " circumstantial evidence" ambao ni ule wa kutajwa na mshitakiwa mwenza ambao unatosha kumtia hatiani prosecution wakiweza kuupangilia vizuri. Vile vile sina shaka police wamepata ushahidi wa kutosha kupelekea kumkamata.
Huyu hakika ni binadamu mbaya kabisa!
Unaua mumeo!
Ametafuta kwa ujuzi na mafaniko muishi maisha mazuri unamuua! Ule hiyo pesa na nani?
Kwa mipango ya mungu labda ale mtoto yeye hatakula! Imekuwa Mali ya shetani kwake.
 
Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa

Tupe kidogo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…