Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Shobi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,401
Reaction score
4,371
Ni August 9, 2016 ambapo stori inayochukua headlines kwenye magazeti ya Tanzania ni kuhusiana na kukamatwa kwa mke wa marehemu wa bilionea Erasto Msuya.

Kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima limeripoti kwamba Miriam Msuya alikamatwa
juzi na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Sakina Arusha kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi kuhusu tuhuma za mauaji ya Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya.

Gazeti la Tanzania Daima leo August 9 2016 limeripoti kuwa mke wa Msuya alikamatwa baada ya msichana wa kazi wa marehemu Aneth Msuya kumtaja kuhusika. Mfanyakazi huyo wa ndani ni mmoja kati wa watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji
hayo.

Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata kamanda wa polisi Arusha Liberatus Sabas na kayaongea haya;

"Nadhani kama mtakuwa mnakumbuka hilo tukio lilitokea jiji Dar es Salaam
kwahiyo hapa baada ya uchunguzi kufanyika jeshi la Polisi likamkamata mke wa marehemu Erasto Msuya ambae ni Miriam Msuya na kusafirishwa Dar es Salaam kwa ajili ya uchuguzi wa kina, alikamatwa Alhamisi iliyopita. "

========

erasto10_1.jpg

Screenshot_2016-08-09-19-37-15_1.jpg
 
Mambo yanazidi kufukuliwa.. Tutayona mengi sana kwenye kesi ya marehemu Erasto...
 
Hapo mwisho rekebisha kuna shida kidogo. Aliyekamatwa sio dada wa marehemu bali mke kufuatia maelezo aliyotoa binti wa kazi wakati wa mahojiano na polisi
sawa mkuu
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauaji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
 
Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
yeah name nimehisi hilo, yawezekana aliona huyo ndio kikwazo cha kuipata mali kama alivyokusudia. Let wait maana yaweza kuwa katajwa tu kwa chuki binafsi
 
Ni August 9, 2016 ambapo stori inayochukua headlines kwenye magazeti ya Tanzania ni kuhusiana na kukamatwa kwa mke wa marehemu wa bilionea Erasto Msuya.

Kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima limeripoti kwamba Miriam Msuya alikamatwa
juzi na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Sakina Arusha kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi kuhusu tuhuma za mauaji
ya Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya.

Gazeti la Tanzania Daima leo August 9 2016 limeripoti kuwa mke wa Msuya alikamatwa baada ya msichana wa kazi wa marehemu Aneth Msuya kumtaja kuhusika. Mfanyakazi huyo wa ndani ni mmoja kati wa watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji
hayo.

Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata kamanda wa polisi Arusha Liberatus Sabas na
kayaongea haya;

"Nadhani kama mtakuwa mnakumbuka hilo tukio lilitokea jiji Dar es Salaam
kwa hiyo hapa baada ya uchunguzi kufanyika jeshi la Polisi likamkata mke wa marehemu wa Erasto Msuya ambae ni Miriam Msuya na kusafirishwa Dar es Salaam kwaajili ya uchuguzi wa kina, alikamatwa Alhamisi iliyopita."
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
 
Back
Top Bottom