Mapya ya ‘awamu ya sita’!

Mapya ya ‘awamu ya sita’!

Mi huwa naishia kucheka tu ninapoona michadema inahangaika namna hii. Anachofurahisha huyu mama ni kwamba huwa hatumii nguvu nyiiingi kujibishana........anajipigia kwenye mshono, anatulia. Minyumbu tangu jana viti havikaliki. Hivi, kwa akili zenu, mnafikiri hajui anachokifanya?!!!!!!!! Kwamba nyie nyumbu ndo wajuaji yaani, au sio?!!😃😃😃
Mkuu, yaani sa100 ukimcheki tu hv kwa macho unaona taswira ya mtu mwenye upeo mdogo!
Akizungumza nje ya alichoandikiwa ndio kabisaaa unaona kiazi hiki!.
 
Taarifa za jeshi kujimilikisha nafasi ya sita ni za muda sana
Ngoja nitaje nione kama hiyo ya sita wanayo kweli.
US,Russia, Ufaransa, uingereza ujerumani, China , India,Japan, Korea 2, Turkey, Iran, Israel.
Kumbe hata 100 Bora hawapo bwana!
 
Ngoja nitaje nione kama hiyo ya sita wanayo kweli.
US,Russia, Ufaransa, uingereza ujerumani, China , India,Japan, Korea 2, Turkey, Iran, Israel.
Kumbe hata 100 Bora hawapo bwana!
"Kujimilikisha"
 
Mkuu, yaani sa100 ukimcheki tu hv kwa macho unaona taswira ya mtu mwenye upeo mdogo!
Akizungumza nje ya alichoandikiwa ndio kabisaaa unaona kiazi hiki!.
Ila anakuhenyeshaaaaa, uongo?!! Mnajitahidi weeeeee lakini wapi
 
Ni Karne ya Vichaa..., Lakini in Comparison to Trump.., I think we are better off..., Na tutegemee wengine wengi wakitembea mulemule..., The Age of Absurdity (And Trump has lowered the Bar so much I don't think it can go any lower)
 
Watu wa pwani hawawezagi uongozi, Hata wao wakakiri. Hatutakuja piga hatua tutabaki wajinga hivi2.
Wamejaa uswahili2 tu!
 
Ushawaho ona wapi waislam wakawa na timamu
Mimi ni Mkristo lakini naamini na wapo Waislamu ambao ni smart sana upstairs wakati mwingine kutuzidi hata sisi Wakristo. Sema kwa sasa tu ndio tuna bahati mbaya kwa viongozi wetu both Wakristo na Waislamu!
 
Sema kwa Polepole alitakiwa kutoa tamko tu la kuridhia ombi lake la kujiuzulu! Na kama asingetoa tamko la kumkubalia, basi angetoa tamko la kumuondolea hadhi yake ya ubalozi kama angeona anafaidi sana.

Na siyo kumfukuza kazi mtu ambaye alishaandika kitambo barua iliyosambaa kwenye mitandao, ya kujiondoa kwenye hiyo nafasi yake.
Kaisome barua ya Pole Pole.

Alichoandika ni Taarifa ya kujiuzulu nafasi yake, na hakuomba kujiuzulu, hivyo hakukuwa na haja ya kujibiwa kwa barua ya kukubaliwa kujiuzulu au la.

Serikali ilifanya sahihi kutengua uteuzi wake kwa maslahi ya uma kwakuwa hakuwa eneo la kazi na amekuwa akitoa matamko ambayo hayaendani na nafasi yake aliyoteuliwa.
 
Mimi ni Mkristo lakini naamini na wapo Waislamu ambao ni smart sana upstairs wakati mwingine kutuzidi hata sisi Wakristo. Sema kwa sasa tu ndio tuna bahati mbaya kwa viongozi wetu both Wakristo na Waislamu!
Hakujawahi kuwa na viongozi waislam wenye akili, wamejaa uswahili na ujqnja ujanja tuu
 
Back
Top Bottom