Nenda kaharishe hayo mavi tumboni.Nadhani hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣.
We ushaharisha leo?Nenda kaharishe hayo mavi tumboni.
Mara nyingi washauri huwa wanamuakisi aliyewafanya wawe washauri wake.kichekesho zaidi ni kuona tunaowaita washauri, wataalam wa siasa wakisifia ujinga na kulamba nyayo zake
Ni serikari isiyoongozwa na viongozi, bali wahuni, opportunists, hawana lengo la kuongoza bali kujineemesha tuNadhani hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣.
Ndo mlichobaki nacho hiko chadema; vichambo vya kwenye vijora🤣🤣🤣TUNAONGOZWA NA WATU WANAOZIDIWA AKILI HATA VIKUNDI VYA WAIMBA SINGELI.
Alichokifanya kwenye kutengua uteuzi wa mtu aliyekwishaacha kazi ni nini?Mi huwa naishia kucheka tu ninapoona michadema inahangaika namna hii. Anachofurahisha huyu mama ni kwamba huwa hatumii nguvu nyiiingi kujibishana........anajipigia kwenye mshono, anatulia. Minyumbu tangu jana viti havikaliki. Hivi, kwa akili zenu, mnafikiri hajui anachokifanya?!!!!!!!! Kwamba nyie nyumbu ndo wajuaji yaani, au sio?!!😃😃😃
Wanacheza na beat! Ila safari hii tumejua kuula wa chuya na sijui tunatokaje hapa!Mara nyingi washauri huwa wanamuakisi aliyewafanya wawe washauri wake.
Akili ya kiuongozi ya Chura Kiziwi haitofautiani sana na ya Donald Trump. Wote wanathamini sana machawa!Nadhani hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣.
Polepole: I quitTuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Utaelewa tu mkuu muda si mrefu, relax. Wewe ni muhimu mno jf kwa mada zenye akili; hizi nyepesi nyepesi na za mihemko waachie nyumbu wa lissu tafadhali.Alichokifanya kwenye kutengua uteuzi wa mtu aliyekwishaacha kazi ni nini?
Sijawahi kuona idiot ambaye amezungukwa na wafuasi ambao sio idiots!Mara nyingi washauri huwa wanamuakisi aliyewafanya wawe washauri wake.
Duniani huko wanavunjika sana mbavuNadhani hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣.
Kwa itifaki za kibalozi unaweza kutangaza kuacha kazi kwa kujiuzuru kama alivyofanya Pole pole na aliekuteua pia anatengua uteuzi wako kwa barua kwa maana anaweza akawa anatamka maneno yake akiwa kwenye hadhi ya Ubalozi wakati kumbe sio ndio maana lazima Rais kufanya alichofanya ila ilitakiwa kutoa hadhi na si kutangaza kumfukuza kazi..Alichokifanya kwenye kutengua uteuzi wa mtu aliyekwishaacha kazi ni nini?
Hizo itifaki zimeandikwa wapi?Kwa itifaki za kibalozi unaweza kutangaza kuacha kazi kwa kujiuzuru kama alivyofanya Pole pole na aliekuteua pia anatengua uteuzi wako kwa barua kwa maana anaweza akawa anatamka maneno yake akiwa kwenye hadhi ya Ubalozi wakati kumbe sio ndio maana lazima Rais kufanya alichofanya ila ilitakiwa kutoa hadhi na si kutangaza kumfukuza kazi..
Note yule ni Balozi sio CEO wazee..