Mwigulu alipata habari za watu wanamipango ya kumteka, kwanini asingetoa taarifa Police? Huyu Mwigulu ndiye aliyepigiwa simu za vitisho na wabunge wa CDM na alizibaini namba zao, mbona hao wabunge hawajashitakiwa? Mwigulu ni suspect # 1, kama Police watafanya kazi zao kitaalaam
Nchi hii sio ya mama yako wala TISS ni nchi ya watanzania wote na hakuna aliyejuu ya sheria hao TISS wameharibu mfumo wa kiupelelezi na ulinzi wa nchi kwa sababu wanadhani alhaj KIkwete amewapa go ahead ya kuua na kutidhia wananchi haya tunayaangalia kama watanzania na mwish wake tutauona wakiendela kuvuruga amani TISS wasijisahau libya,ItaqMisri,Tunisia,Ivory coast,Zaire ya Mobutu kote huko kulikuwa na TISS zao ,lakini mwisho wa siku walishindwa kutamba mpeni tahadhali Kikwete anaona mahara pafupi baada ya kutoka madarakani watu watamtema mate kwa ubabe wake
Hizi video hazina mashiko,labda tuletewe video mpya inayoonyesha Lowassa akiwa na mawakala wa richmond.
Haijaunganishwa hivyo.Makada wa chama na watu wengine wasiojulikana.
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.
Unajua kwanini safari hii haijawekwa youtube?yote hayo ni tisa, kumi ni hili la kupanga kuteka raia....chadema mnapaswa kulieleza taifa kwann mnajiingiza kwenye uharamia? Kwann mnafanya mambo ya kinyama halafu mnasingizia wasiohusika? Kumbukeni ikulu ni mahala patakatifu haiwezi kukaliwa na wauwaji
Hahahahahahahahah
@mwingulu alaitakwa kutekwa na nani?
Chama cha magaidi wabaya sana kwenye hili taifa
Ugaidi!?!? Mmeshindwa kuthibitisha na kushawishi Watz kwa chama cha familia, ukabila, ukanda, udini, ukatoliki, sasa mauaji na ugaidi, nani atasikiliza...watawala hawa, chini ya CCM, wanao wajibu wa kujibu tuhumamauaji mengi na ugaidi mnaofanyia Watanzania wanaopingana nao kifikra na mawazo mbadala, badala ya kuhamisha mjadala.
Subir Utaziona,utawaona Magaid Wa Chadema Wote
sio cha wakristo?
chadema ni kama zimwi linalo afuta wa kumla kila siku wao ndio wauaji
yote hayo ni tisa, kumi ni hili la kupanga kuteka raia....chadema mnapaswa kulieleza taifa kwann mnajiingiza kwenye uharamia? Kwann mnafanya mambo ya kinyama halafu mnasingizia wasiohusika? Kumbukeni ikulu ni mahala patakatifu haiwezi kukaliwa na wauwaji
Hiki chama cha CDM hadi kife mwaka huu yaani kumbe wana mipango michafu namna hii yaani ningeyajua haya mwaka 2010,Sasa watanzania tumeelewa sasa tutaendelea kusikiliza na kutekeleza kauli ya baba wa taifa isemayo `KIONGOZI ANAWEZA KUPATIKANA KUTOKA CHAMA CHOCHOTE LAKINI KIONGIOZI BORA NI LAZIMA ATOKE CHAMA CHA MAPINDUZI`
Kaka umalaya wa kisiasa sawa na umalaya mwingine wowote chama cha mapinduzi ni chama mfu hakina mipango mkakati miaka hamsini sera za maendeleo elfu moja nchi itaendeleaje,waliobaki CCM wote majambazi wa uchumi wa nchi hii nchi hii hkuna wakuwapa tenaHiki chama cha CDM hadi kife mwaka huu yaani kumbe wana mipango michafu namna hii yaani ningeyajua haya mwaka 2010,Sasa watanzania tumeelewa sasa tutaendelea kusikiliza na kutekeleza kauli ya baba wa taifa isemayo `KIONGOZI ANAWEZA KUPATIKANA KUTOKA CHAMA CHOCHOTE LAKINI KIONGIOZI BORA NI LAZIMA ATOKE CHAMA CHA MAPINDUZI`
chadema ni kama zimwi linalo afuta wa kumla kila siku wao ndio wauaji
Ukiwa na Intelijensia Makini ni Raha Sana!!
Katika Bar inayokwenda kwa jina la Kruzin iliyoko Mikocheni (muda unahifadhiwa)... Kamera yangu ya kiintelijensia imesana tukio la Kikao cha Mwigulu Nchemba na Habib Mchange wakishawishiana vitu fulani vifanyike CCM (vinahifadhiwa pia)...
Mtakumbuka Habib huyu ni yule aliyetimuliwa Chadema na maPM 7 wenzake kwa kukubali kutumiwa na kina Mwigulu kwa vipesa vya hongo kuihujumu Chadema....wakashitukiwa kabla ya dili kukamilika!!
Sie tunawachabo tu kimakengeza na mipango isiyofaulu...!!
Poleni sana chadema,,tatizo lenu nyie baadhi yenu mnajifanya wajanja sana tena wenye akili kushinda hata wenye dola na chama dola la nchi hii,,lazima mfanye siasa zenu polepolena kwa umakini mkubwa sana..vingineiavyo hamtafika 2015,,naona mmetekenywa kidogo tu na watoto wa mjini sasa hivi mnaanza kunywea na kuwa wapole..Nina uhakika kabla ya kufika mwaka 2015 tutashuhudia mambo mengi na makubwa ambayo kila mwanacdm atbaki mdomo wazi kwa kutoamini kile kitakachotokea..Tusubiri,,time will tell