Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

tatizo la watu wavivu kushughulisha bongo zao ndio hili...kama hujaelewa kwann usiende hata wavuti au website ya gazeti husika upate taarifa kamili. Unaishia kumshambulia mtu anayekupa habari mkuu?

ingekuwa Mwananchi, Raia Mwema au The Citizen sawa! Lakini gazeti la magamba NOooo!!
 

Mbinguni, au wewe unataka watupeleke wapi?
 
Magambuti +gambaz mnajitahidi kugeuza mwezi kuwa nyota,mtatengeneza sinema nyingi mno!mtaandika mashahiri mpaka ya mdumange lkn mvua ya uzandiki wenu itawanyeshea kweupeeee!mtatafuta wa kumbebesha lawama lkn mtajikuta nyote mnastahili lawama,hapo ndipo mtakapo gundua utakaso wa kweli haupatikani kwa mlango wa UWANII!!!

BATTER AN UGLY FACE THAN UGLY MIND!!
 
Nakubaliana nawe Mkuu. CCM hawana jipya kuelekea 2015 pamoja na ahadi zao chungu nzima kila sekta imejaa madudu tu. Wahuni ndani ya CCM wamekuja na huu mpango wa kutengeneza video na kuzipandikiza dhidi ya Viongozi wa CHADEMA katika juhudi za kukichafua CHADEMA. DHAIFU naye yuko kimya kabisa kama kawaida yake katika kukemea huu mchezo mchafu. Kama ulivyosema mchezo huu mchafu unaofanywa na wahuni ndani ya CCM ukiachwa uendelee basi unaweza kusababisha mauaji ya kutisha nchini na hakuna wa kulaumiwa ila ni DHAIFU na serikali yake.

 
Hizi video hazina mashiko,labda tuletewe video mpya inayoonyesha Lowassa akiwa na mawakala wa richmond.
 
Wewe lazima una matatizo ya akili. Mungu ni mtakatifu na wala hana mshirika hivyo matendo ya kuwasingizia wenzenu mambo mabaya - Mungu aonaye sirini atayaweka wazi. Wao wana dola wenzao wana Mungu. Waache na Mungu wao!!!
cdm ilianza na mungu kuteka watu na itamaliza na mungu huyo huyo kuwatesa??????????? acha kumtania mungu ndugu yangu.
 

Kusoma hujui hata picha uioni?Endeleeni kupiga porojo baada ya uchaguzi wa 2015 ni vita tu,wachumia matumbo mujiandae kukimbia nchi.

CCM naCDM endeleeni kutuandalia mazingira mazuri ya vita.Wewe lofa kusikia vita tu unaanza kujiharishia acha kuchukua posha na kushinda hapa mtandaoni,tafuta kazi nyingine ufanye mjinga wewe.
 
tatizo la watu wavivu kushughulisha bongo zao ndio hili...kama hujaelewa kwann usiende hata wavuti au website ya gazeti husika upate taarifa kamili. Unaishia kumshambulia mtu anayekupa habari mkuu?

Yaani kwa akili yako unaona hiyo ni habari; je kuna tofauti gani kati ya habari na udaku?
 
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.

Nchi hii sio ya mama yako wala TISS ni nchi ya watanzania wote na hakuna aliyejuu ya sheria hao TISS wameharibu mfumo wa kiupelelezi na ulinzi wa nchi kwa sababu wanadhani alhaj KIkwete amewapa go ahead ya kuua na kutidhia wananchi haya tunayaangalia kama watanzania na mwish wake tutauona wakiendela kuvuruga amani TISS wasijisahau libya,ItaqMisri,Tunisia,Ivory coast,Zaire ya Mobutu kote huko kulikuwa na TISS zao ,lakini mwisho wa siku walishindwa kutamba mpeni tahadhali Kikwete anaona mahara pafupi baada ya kutoka madarakani watu watamtema mate kwa ubabe wake
 
sio cha wakristo?

hiyo waliona haiuzi sasa kuna hii mpya watu wameishitukia pamoja na kupewa promo ya nguvu na kuandaliwa na taasisi zaidi ya mbili lakini bado hata tahiraànae ndondoka jukwaani anajua kabisa hii feki...
 

unabisha kuwa nyie sio magaidi? Umeangalia vizuri ile video ya boss wako akipanga kumteka mwandishi? Umeona anavyompa kijana ludo maelekezo? Zibua masikio na ubongo wako uione kweli acha kutumikia tumbo mkuu
 
Masali naona mmevamia JF kwa kazi maalumu; twende sawa;
Join Date : 30th March 2013
Posts : 16
Rep Power : 304
Likes Received1
Likes Given0
 
Umeona eeh!!! Wameingia kwa fujo kweli kubandikia ----- wao dhidi ya CHADEMA

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…