master gland
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 198
- 60
tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa lwakatare limeibua mapya ndani ya chama hicho yaliyojificha mbali na video ya lwakatare inayomuonesha akipanga mipango ya kuteka na kuzuru watu pia imebainika kuwa kuna video zingine ambazo zimewasilishwa kwenye vyombo vya uchunguzi zikionesha viongozi wa chadema wakipanga mipango zaidi ya mauaji kwa baazi ya watu muhim wakiwemo wanahabari na watu wengineo wanajf hawa wanasiasa wanatupeleka wapi?
Linchi lililochafuka kama Tanzania haliwezi kuendelea bila ya kupigana vita kam miaka kumi hivi,baada ya hapo watu watakuwa na adabu ya kuogopa mali ya Umma.
Hawa wanasiasa wetu wote ni wachumia tumbo,si wa chama tawala wala wa upinzani,hivi sasa ukitaka kuneemeka ingia kwenye siasa tu,siasa ndio biashara kubwa inayolipa hapa nchini.
Haya yanayoendelea ni maandalizi mazuri ya vita,kazi nzuri endeleeni na mapicha yenu ya Rambo sisi tunajipanga kwa vit huku mtaani.
Hiki ni kipimo cha mwisho kabisa kwa CDM kushika dola. Wamejaribu kulaghai watu CDM ni ya kifamilia hawajasikika,KASKAZINI wameshindwa,wakaja ni cha kidini(wakatoliki ) hawajauzika na sasa ni chama cha kigaidi nadhani itapita tu .
Mbinu zote wamejaribu wameona bora waitumie hii ili kuwagombanisha ndani na nje ya nchi .
Thanks to GOD mipango yao yote inafahamika mapema sana kabla hawajaitekeleza.
WANA CDM HAKUNA KIPINDI KIGUMU CHAMA KINAPITIA KAMA HIKI KWA PAMOJA TUONGEZE UJASRI KWENYE MPAMBANO HUU. MUNGU YUPO NASI
chama cha kigaid,,ngja tusubiri waliosema clip ya lwakatale ni yakutengeneza...shame on them
tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa lwakatare limeibua mapya ndani ya chama hicho yaliyojificha mbali na video ya lwakatare inayomuonesha akipanga mipango ya kuteka na kuzuru watu pia imebainika kuwa kuna video zingine ambazo zimewasilishwa kwenye vyombo vya uchunguzi zikionesha viongozi wa chadema wakipanga mipango zaidi ya mauaji kwa baazi ya watu muhim wakiwemo wanahabari na watu wengineo wanajf hawa wanasiasa wanatupeleka wapi?
Hii video ya utekaji imeichafua Chadema sana chama kimepata pigo sana.
Kazi ipo.
Baada ya CCM kushindwa kujenga nchi..hiki ndicho inachoweza.
Hii video ya utekaji imeichafua Chadema sana chama kimepata pigo sana.
poleni sana chadema,,tatizo lenu nyie baadhi yenu mnajifanya wajanja sana tena wenye akili kushinda hata wenye dola na chama dola la nchi hii,,lazima mfanye siasa zenu polepolena kwa umakini mkubwa sana..vingineiavyo hamtafika 2015,,naona mmetekenywa kidogo tu na watoto wa mjini sasa hivi mnaanza kunywea na kuwa wapole..nina uhakika kabla ya kufika mwaka 2015 tutashuhudia mambo mengi na makubwa ambayo kila mwanacdm atbaki mdomo wazi kwa kutoamini kile kitakachotokea..tusubiri,,time will tell
in fact he is entangled in an embarrassing predicamentmchemba is digging his own "hole"
he is entangled into almost every situation relating to kidnapping, killings and torture za kisiasa
Baada ya CCM kushindwa kujenga nchi..hiki ndicho inachoweza.
Subir Utaziona,utawaona Magaid Wa Chadema Wote