Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

mkuu mbona na wewe umeanza na MUNGU IBARIKI AFRIKA,nilitegemea uwasilishe mawazo yako ndani ya huo revised wimbo ambao umeupendekeza
 
Mimi sijakuelewa kabisa,
Na nadhani umekosea.

Unadai tukiitaja Africa tunagawana Blessings za Sir God, but kwenye mapendekezo yako ya what to do umeitaja tena Africa mwanzo mwisho, ulikua unamaanisha nini??
 
Hata ukiwa unapeleka maombi na shida zako kwa Mungu, ni vyema ukaondoa kitu kinaitwa UBINAFSI. Anza kwa kuwaombea binadamu wenzio sababu na wao wana shida kama zako ukishamaliza kuombea binadam wenzio anza nawew kupeleka shida zako kwa Mungu. Mimi naona upo sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanadhani tumeiga wimbo wa Afrika Kusini hapana wetu ulianza na wao ulifuatia wakati wa Mandela, ukweli wa wimbo huu umo ndani ya nyimbo za kikristo za nchi za kusini Zambia, Malawi, Zimbabwe, Afrika Kusini na nyinginezo, aliyetunga maneno ni padri na nchi nilizozitaja zinatumia tuni hii kwenye sala zao na Afrika Kusini pia walibadilisha maneno tu.
 
Kuna mzungu mmoja alikejeli nchi za Africa kuwa nchi nyingi za Africa zina nyimbo za taifa ndefu sana wakimtaja mungu awabariki wakitegemea atawashushia maendeleo wakati ni wavivu ndio maana ni masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No. 1 amesema ni wimbo tuliouiga kutoka Afrika ya kusini yaani tume kopi na kupest wimbo wao wa NKOSI SIKELELI AFRIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No. 1 amesema ni wimbo tuliouiga kutoka Afrika ya kusini yaani tume kopi na kupest wimbo wao wa NKOSI SIKELELI AFRIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sukukelewa post yako. Sijakataa kuwa wimbo ulitungwa na raia wa South Afrika, nilichosema ni kuwa kutungwa na raia wa Afrika ya kusini hakuufanyi usistahili kuwa wimbo wa Taifa Tanzania. Ndiyo maana nikatoa mifanyo ya nchi nyingine ambazo zina nyimbo za Taifa ambazo zilitungwa na raia wa nchi nyingine kabisa.
 
Kwa kuongezea , kipengere cha " WABARIKI VIONGOZI WAKE " kifutwe ili kila mtu apate nafasi ya kujiombea mwenyewe , tusilazimishwe kuwaombea viongozi ambao sasa imedhihirika kwamba wamelewa madaraka , baada ya kulitambua hilo mimi nilishaacha kuimba wimbo wenyewe
 
Ivi Tz na S.Africa nani ulianza kupata uhuru?
 
Mwaka 1996 shule ya msingi Mapambano tulikuwa hatuuimbi huu wimbo mstarini na badala yake tulikuwa tunauimba wimbo Wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Nalog off
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…