Kwani tukianza Ubeti wa kwanza na Mungu Ibariki Tanzania kwanza, halafu Ubeti wa pili ndio Mungu awabariki hao wengine kuna tatizo gani? huko sio kuubadilisha wimbo huu mzuri bali ni kuuweka kiuhalisia tu zaidi, yaani maudhui yale yale isipokuwa mpangilo wa beti ndio tubadilishe!!
Nasikia kuna watu wanasema wimbo una ladha na mandhari ya kikatoliki. Pia upo kwenye katekisimu ya wakatoliki...
Hivi ni kweli??????
Nasikia kuna watu wanasema wimbo una ladha na mandhari ya kikatoliki. Pia upo kwenye katekisimu ya wakatoliki...
Hivi ni kweli??????
Kweli hapa muhimu ni kuiombea dunia kwani Africa ni sehemu yake, ila ingependeza kuiombea nchi yetu na hilo ndio muhimu, tuubadili wimbo huu.Na kwanini isianze mungu ibariki dunia?hivi africa ni bora kuliko dunia?only in tanganyika a.k.a tanzania.
Wimbo wetu wa Taifa unahitajika kuandikwa upya pia. Uliopo ulilenga kuikomboa Afrika. At least the job well done.
Tunahitaji wimbo ambao una-touch current generation...
Mfano: Leo Tanzania Tanzania Nakupenda unaonekana mzuri hata zaidi ya wimbo wa Taifa wenyewe.
Mwisho
Katiba mpya, wimbo mpya!!!!
Mungu ibariki Tanganyika ina tatizo gani?
Wimbo wa sasa hauna Tatizo. Hauimbwi sana kwa kuwa Hekima, Umoja na Amani si ngao zetu kwa muda sasa. Sasa hivi ni Siasa, Wizi na Ulafi.Ni neno gani unaona kuwa ni la kiukombozi kwenye huo wimbo? mbona maneno yapo sawa kabisa kuiombea baraka Africa ni kosa? labda ungesema kwa melodi hiyo hiyo ungeongezwa ubeti mmoja wa kuiombea dunia nzima kwani sasa hivi dunia kijiji na wamoja na Mungu hapendi umimi anapenda hata kwenye maombi usijiombee wewe mwenyewe ila waombee na jirani zako
Una longolongo nyingi, halafu uko slow sana. Utadhani wa kumbembelezea baby alale.Mungu ibariki Tanganyika ina tatizo gani?
Kumbe wewe hata ukiwa na ukimya wa kuongea na Mungu wako huwa unajiombea mwenyewe tuu?Wimbo wa sasa hauna Tatizo. Hauimbwi sana kwa kuwa Hekima, Umoja na Amani si ngao zetu kwa muda sasa. Sasa hivi ni Siasa, Wizi na Ulafi.
Hapo red ni wimbo wa Taifa sio dunia!
We are talking about national Identity. Inawezekana tunaongea na falsafa tofauti kabisa. A Nationalist vs A Globalist!Kumbe wewe hata ukiwa na ukimya wa kuongea na Mungu wako huwa unajiombea mwenyewe tuu?
Zipi hizo?Una longolongo nyingi, halafu uko slow sana. Utadhani wa kumbembelezea baby alale.
Wimbo wetu wa Taifa unahitajika kuandikwa upya pia. Uliopo ulilenga kuikomboa Afrika. At least the job well done.
Tunahitaji wimbo ambao una-touch current generation...
Mfano: Leo Tanzania Tanzania Nakupenda unaonekana mzuri hata zaidi ya wimbo wa Taifa wenyewe.
Mwisho
Katiba mpya, wimbo mpya!!!!
Wimbo wetu wa Taifa unahitajika kuandikwa upya pia. Uliopo ulilenga kuikomboa Afrika. At least the job well done.
Tunahitaji wimbo ambao una-touch current generation...
Mfano: Leo Tanzania Tanzania Nakupenda unaonekana mzuri hata zaidi ya wimbo wa Taifa wenyewe.
Mwisho
Katiba mpya, wimbo mpya!!!!
Wimbo wa sasa wa Taifa ulitungwa na KWAYA ya Mtakatifu Sesilia. Tutafute wimbo wa kuwaunganisha watanzania wa dini zote