Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

mika mwamba
p funk majani
alan mapigo shente
said comorien
enrico
pancho
hermy b
man wolter
boni love
master jay
bizzman
hao wengine wa kawaida sana.
NB.
producer mzuri ni yule anayetengeneza best song na siyo hit song.@darrengold am out.
Ni muhumu hawa ma legend waliotuburudisha tuwape Maua yao wakiwa bado hai.

Ningeshauri siku moja moja kwa mwezi tunaweka kazi za Prodyuza mmoja mmoja na ku relfect ujuzi na mchango wao.
 
Back
Top Bottom