Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

Umekosea kupiga picha hiyo sio idadi ya watu wanaomkubali LISSU hapo Morogoro.

Ngoja waje wapiga picha mashuhuri wazee wa kutoa picha wawili.

WAIT.
 
Kuna kitu chadema wanakosea kutokutembea na Muziki mbele ya mgombea wao. Wasanii wote wameshawakimbia wao watafute vikundi vya talumbeta kama kile cha yanga cha Tandale au Ubungo terminal vya Simba na yanga au mpira pesa au Vile vya Maharusi Ushindi utakuwa wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…