Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,640
- Thread starter
-
- #121
You see why I missed you here? Unamwaga nondo. Zakumi apakue mawili matatu. Alipokuja state visit 1977, tulikuwepo sisi pale Ikulu kupeperusha bendera za Tanzania wakati anawasili South portal. Katika mazungumzo yake na Jimmy Carter ambayo kwa sehemu kubwa yalimulika ukombozi wa Zimbabwe na by extensio Afrika kusini, Jimmy Carter alilazimika kuchukua notes na baadaye akamkaripia Brzezinski kuwa mbona hili ulikuwa hujanibrief? Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli kweli. Hata kwa viongozi wenzake mpaka wanaadika notes.
Hivi kwanini Nyerere hakutengeneza Nyerere wengine wa miaka 50 ijayo?
Sasa Tanzania tunasumbuka na marais wa ajabu sana.
You see why I missed you here? Unamwaga nondo. Zakumi apakue mawili matatu. Alipokuja state visit 1977, tulikuwepo sisi pale Ikulu kupeperusha bendera za Tanzania wakati anawasili South portal. Katika mazungumzo yake na Jimmy Carter ambayo kwa sehemu kubwa yalimulika ukombozi wa Zimbabwe na by extensio Afrika kusini, Jimmy Carter alilazimika kuchukua notes na baadaye akamkaripia Brzezinski kuwa mbona hili ulikuwa hujanibrief? Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli kweli. Hata kwa viongozi wenzake mpaka wanaadika notes.
I have been a bit under the weather. I went through a major operation at the end of February but I have recovered well. Nitakujoin huko mwishoni wa mwezi Septemba.Jasusi na wewe umeadimika mno bana.
Wiki mbili zijazo naenda kuongeza nguzu za UKAWA bana.
Nimeyachoka mno ma CCM.
I have been a bit under the weather. I went through a major operation at the end of February but I have recovered well. Nitakujoin huko mwishoni wa mwezi Septemba.

Asante sana ndugu yangu. Mungu ni mwema wakati wote.Jasusi,
Pole sana ndugu yangu.
Nakuombea Mungu akurejeshee siha yako.
ndio huyo kikwete alipewa nafas...kumbe alivaa ngoz ya kondoo..unaanbiwa wakat wa nyerere jakaya alpenda zaid kwenda kanisan kuliko mskitin......tena kanisa alilokuwa akisal kambarage..sjui lengo lake ilikuwa nn
I have been a bit under the weather. I went through a major operation at the end of February but I have recovered well. Nitakujoin huko mwishoni wa mwezi Septemba.
Kiukweli Nyerere Hakuwai Kumpenda Kikwete Na Nyerere Angekuwepo Leo Hii Kikwte Asingekuwa Rais, Ikumbukwe Nyerere Alimwambia Kikwete Wewe Ni Mtoto Wakati Huo Kikwete Anamiaka Zaid Ya 40 Yeye Nyerere Alichukwa Nchi Akiwa Na Miaka 38, Kwa Hapo Tu Tunapata Kujua Alimaanisha Ni Utoto Wa Akili Na Si Wa Umli
Jasusi na wewe umeadimika mno bana.
Wiki mbili zijazo naenda kuongeza nguzu za UKAWA bana.
Nimeyachoka mno ma CCM.
Kwa hiyo unaenda kumkabidhi kombe Lowassa kiulaini?
Udadisi, mimi si muumini wa watu wenye misimamo..ni muumini wa misimamo.
Ukiniuliza mimi... nitasimama na majemedari ninaowajua hata kama hatutashinda vita lakini najua pamoja nao tumepigana hadi dakika ya mwisho.
You see why I missed you here? Unamwaga nondo. Zakumi apakue mawili matatu. Alipokuja state visit 1977, tulikuwepo sisi pale Ikulu kupeperusha bendera za Tanzania wakati anawasili South portal. Katika mazungumzo yake na Jimmy Carter ambayo kwa sehemu kubwa yalimulika ukombozi wa Zimbabwe na by extensio Afrika kusini, Jimmy Carter alilazimika kuchukua notes na baadaye akamkaripia Brzezinski kuwa mbona hili ulikuwa hujanibrief? Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli kweli. Hata kwa viongozi wenzake mpaka wanaadika notes.
i.e. Wewe siyo muumini wa Jemedari Slaa bali ni muumini wa misimamo ya Jemedari Slaa?
Dogo mbona unapenda sana kutenganisha unywele wewe?
Kuna film ya ziara ya Mwalimu Nyerere USA mwaka 1977. Iliandaliwa na USIS na ilionyeshwa TV Zanzibar. Kama kuna yeyote anaweza kuipata nitafurahi