Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

Omr ubwabwa ameingia mitini?
Au anajiandaa kuvunja jungu fiesta ya Ruge na JK?

Watakaoenda sio madereva na makonda wa daladala tu, Itakua ni nyomi ya kuanzia watu wa maofisini mpaka watu wa street. Support aliyonayo Lemma RChuga bado ccm hawataki kuiamini.

Watakaoenda sio madereva na makonda wa daladala tu, Itakua ni nyomi ya kuanzia watu wa maofisini mpaka watu wa street. Support aliyonayo Lemma RChuga bado ccm hawataki kuiamini.
nyie ndio mtampa kichaa kabisa, hizi sifa zenu ndio zitampasua kichwa.

CCM wameshaamini kuwa arusha hakuna watu tena. Ni hasara kubwa kwa watu wa arusha, mji wao ulikuwa na heshima zote lakini sasa umegeuzwa kijiwe cha wavuta bangi.

Watakaoenda sio madereva na makonda wa daladala tu, Itakua ni nyomi ya kuanzia watu wa maofisini mpaka watu wa street. Support aliyonayo Lemma RChuga bado ccm hawataki kuiamini.

Jamani someni post yangu hapo juu. Lema kasema mpaka hapo waziri mkuu atakapo toa taarifa juu ya umeme kama taarifa ya serikali itakuwa legelege ndipo makamanda wataandamana kuudai umeme kwasasa tukusanye nguvu kwaajili hiyo.

naomba utujuze kitakachokuwa kinaendelea huko,maana magamba yamepotosha ukweli wa hotuba yake pale bungeni so ninauhakika jamaa atakuwa anatoa maelezo zaidi japokuwa ujumbe ulifika.

nyie ndio mtampa kichaa kabisa, hizi sifa zenu ndio zitampasua kichwa.

CCM wameshaamini kuwa arusha hakuna watu tena. Ni hasara kubwa kwa watu wa arusha, mji wao ulikuwa na heshima zote lakini sasa umegeuzwa kijiwe cha wavuta bangi.

Kama siyo Arusha inachangia kodi kwenye taifa nyie makapurwa mngekuwa mshakufa njaa.
Pamoja na msaada na fadhila tunazowapa, wala hatuhitaji shukrani zenu.

Sisi tutaendele kufanyaga kazi kwa bidii ili tupete na kuendelea kuwatunza nyie OMBAOMBA.

Na lema amerudi jimboni kwaajili ya kero za madereva daladala kubambikiwa kesi za uongo na kutozwa faini ya sh laki 5 iliwasihukumiwe hilo ndilo swala la msingi kwasasa. Ila j3 kutakuwa na mkutano wa hadhara kwa wakazi wote waarusha mnakaribishwa

Jamani somenipost yangu hapo juu kamanda kasema watu wajiandae kwakaui ya waziri mkuu ndiyo watafanya maandamano na mapokezi yake akitokea bungeni kama waziri mkuu atakuja na hoja zake legelege juu ya umeme. Leo ataingia arusha kimya kimya ameomba samahani sana kwa usumbuvu uliyojitokeza

Mkuu acha kupotosha watu.

Hiv katika ule mgomo wa vifodi,alienda kuwapa msaada?
Yeye ndiyo alie watuliza akawaambia wafanye kazi yeye angekuja Alhamisi kuongea nao pamoja na wananchi kuona hivyo serikali ikakupali matakwa ya madereva sikuhizi ni rukusa kuchukua abiria hata katikati ya barabara mpaka hapo watakapo onyeshwa vituo vya kubakilia na kushushia abiria

Leo ni siku ya pili sija ona daladala imekamatwa wakati ilikuwa haipiti saa unaona daladala imekamatwa...

Kwaliompigia Kura ni Matajiri? siamepigiwa kura na hoa hao Madereva wa daldala na Walalahoi wamefurahishwa na utendaji wake wakazi wa waliomuajiri ndio wanaenda kumpa pongezi kwa kusema ambavyo wanavyotaka hao waliomuajiri au wapiga kura wake, wewe ndio kichekesho na kilaza kama Vasco Da Gama
unamaana hii Vasco Da Gama = Ki-kwete

nyie ndio mtampa kichaa kabisa, hizi sifa zenu ndio zitampasua kichwa.

CCM wameshaamini kuwa arusha hakuna watu tena. Ni hasara kubwa kwa watu wa arusha, mji wao ulikuwa na heshima zote lakini sasa umegeuzwa kijiwe cha wavuta bangi.
Mbunge wa CCM amekaa jimboni kwa miaka nane niambie kafanya nini cha maana au katoa mchango gani bungeni wa manufaa kwa taifa...

ndiyo wapiga kura wake wewe mwehu nn?? wacha kudharau kazi za watu kenge wewe...............
sema washabiki wake anaowahonga bangi, hata vituo vya kupigia kura hawavijui. Halafu msitake kuwafanya kwamba ni watu wenye maana, ni wahuni tu, wangekua ni watu wa maana wasinge nyanyasa watoto wa shule.

Na lema amerudi jimboni kwaajili ya kero za madereva daladala kubambikiwa kesi za uongo na kutozwa faini ya sh laki 5 iliwasihukumiwe hilo ndilo swala la msingi kwasasa. Ila j3 kutakuwa na mkutano wa hadhara kwa wakazi wote waarusha mnakaribishwa
Unazidi kujishushia heshima kwa kupotosha wana JF.

Afadhali bangi kuliko kuhongwa ubwabwa!
Njaa itawaua nyie.

Unazidi kujishushia heshima kwa kupotosha wana JF.

Fine tusubiri tuone nani mwongo maana wobongo kila kitu mnaona niuongo, jamani hatuji kufanya maandamano huwo ndiyo ukweli.. Kama nimapokezi sawa ila si maandamano.

Fine tusubiri tuone nani mwongo maana wobongo kila kitu mnaona niuongo, jamani hatuji kufanya maandamano huwo ndiyo ukweli.. Kama nimapokezi sawa ila si maandamano.
Thread inasema nini na wewe unasema nini.

Back
Top Bottom