Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

mueleze ndugu......

Mkuu Mariah,

sio kwamba Omr haelewi, anaujua ukweli tatizo wanatimiza kazi waliyotumwa na serikali ya magamba, jioni wapate mshiko. jamaa wa aina ya Omr wapo wengi humu, Nape amewasambaza kweli
 
Hii sherehe nao itakuwa kubwa sana arusha, basi bangi itakua tabu kupata wiki nzima.
 
Huwa tunawaita wazee wa ubwabwa...akili zao zinarubunika kwa ubwabwa tu..!
 
Asubuhi nimeona pale kituo kikuu cha polisi kama kuna PAREDI fulani hivi jamaa wanajiandaa.....!
 
Nakushauri Lema uchape kazi miaka mitano siyo mingi kama unavyofikiri. Siku ya mwisho tuta ku judge kwa maendeleo uliyo influence Arusha na siyo migomo, maandamano, kelele and other cheap stuff.

Kwa wafuasi wa Lema, kama mnataka kumsaidia siyo mnashabikia vitu vidogo vidogo mara sijui kupokewa na madereva wa vifodi etc.

NE
 
Kwani kazi anayoifanya ni ndogo afterall si lazima akuridhishe wewe.
 
Unajua usifikiri watu wote wa Arusha wana akili kama zako kwamba watakuwa impressed na mambo ambayo hayana tija, Kuna platforms watu huwa wanakaa na ku discuss issues and not events. Uwe unatembea sehemu tofauti na ujaribu ku collect comment za watu
 
Nakushauri Lema uchape kazi miaka mitano siyo mingi kama unavyofikiri. Siku ya mwisho tuta ku judge kwa maendeleo uliyo influence Arusha na siyo migomo, maandamano, kelele and other cheap stuff.

Kwa wafuasi wa Lema, kama mnataka kumsaidia siyo mnashabikia vitu vidogo vidogo mara sijui kupokewa na madereva wa vifodi etc.

NE

maendeleo yanayofanywa na Lema hakuna hata mbunge moja wa ccm anayafanya pamoja na kwamba kuna matatizo ya kisiasa Arusha.
huyo mwanaume uliyelala naye ana mbegu za mbilikimo ndiyo maana hata akili yako imekaa kushoto
 
ombi langu kwa LEMA ni kuisoma ile hotuba yake unfiltered kwenye mkutano wa hadhara ili wananchi wapate kusikia kutoka kwake live.
 
1.
Hii sherehe nao itakuwa kubwa sana arusha, basi bangi itakua tabu kupata wiki nzima
2. atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho

Pole, nakushauri uwe unapata muda japo kidogo kutafakari kabla ya kuandika au kusema jambo, ili upunguze kujidharirisha.
 
Lema will be first termer MP. Hawezi kurudi bunge next election. Ni bahati mbaya kwa wana Arusha...any way wana-appolo wanampelekea mkuu wao msuba.....Dodoma alikaa siku nyingi...........ile kitu ikamuishia!
 
Unajua usifikiri watu wote wa Arusha wana akili kama zako kwamba watakuwa impressed na mambo ambayo hayana tija, Kuna platforms watu huwa wanakaa na ku discuss issues and not events. Uwe unatembea sehemu tofauti na ujaribu ku collect comment za watu
Sasa wewe unafikiri wana Arusha wote wana akili kama zako, kama unajifanya huoni Lema anachokifanya sina msaada zaidi maana hata Lukuvi alijifanya hazimo kama wewe lakini jana mwenzake Werema kakiri aliyosema Lema na kaahidi kuyafanyia kazi unataka Lema afanye nini zaidi.
 
Hii sherehe nao itakuwa kubwa sana arusha, basi bangi itakua tabu kupata wiki nzima.
<br />
<br />
Katika sehemu duniani ambayo haiwezi kuwa na uhaba wa bangi ni arusha iko plenty sema tu sasa soko litashuka sababu mwezi wa ramadhani ndo huo wateja watapungua saaaana
 
Safi sana kamanda niliipenda sana hotuba yake aliyoisoma bungeni!!
 
Lema will be first termer MP. Hawezi kurudi bunge next election. Ni bahati mbaya kwa wana Arusha...any way wana-appolo wanampelekea mkuu wao msuba.....Dodoma alikaa siku nyingi...........ile kitu ikamuishia!
Kura yako ni moja tu halafu lazima uwe mwana Arusha ili uweze kumpigia kura mengine ni dau la kuku.
 
Back
Top Bottom