Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

Unajua usifikiri watu wote wa Arusha wana akili kama zako kwamba watakuwa impressed na mambo ambayo hayana tija, Kuna platforms watu huwa wanakaa na ku discuss issues and not events. Uwe unatembea sehemu tofauti na ujaribu ku collect comment za watu

wewe unaemuona ni mbunge wa chadema tu,wabunge zaidi ya 200 wa sisiem ujawaona.mrema alikaa hapo na hakufanya lolote hilo jimbo lishakwenda upinzan for life nape mwenyewe awez dhubutu kutimba hapo,alipo kuwa moshi alihishia kufanya mikutano ya ndani.KILAZA PANYUWAYU WEEE

Tunamwomba Mh. Lema aliweke taifa wazi kupitia mkutano wake juu ya upotoshaji wa CCM juu ya taarifa yake awaliyodai ni uchchezi, tutafika tuu kwakutumia makamanda kama Lema.

Acha utani hata sisi matajiri tulimpigia bana.
Nimekuwa interested na post yako kwa vile ni ya kwanza inaonekana umeguswa na kitu fulani maana kuna aina nyingi za utajiri,
wa roho, ingawa Maalimu Seif siku hizi ameaanza kunyoa ndevu.....nao pia nk nk kwani wewe utajiri wako ni wa kitu gani
Wa kusoma
Join Date : 30th July 2011
Posts : 1
Rep Power : 0

Wajinga ndio waliwao! Arusha tunataka Lema atimize ahadi zake sio mbwembwe anazo fanya! Mbona Mawaziri Kivuli wengi wa CDM wametoa hotuba au hazikua na Maana? Lema tunataka maendeleo

wenje alisema ni afadhali kichaa anaepigania maslahi ya wananchi na taifalake kuliko mvaa suti anaepigania tumbolake.lema ni mpambanaji wa ukweli wa watanzania walalahoi walio wengi.weweka uzao wako ni mafisadi kama NAPE lazima utawasifia magamba.

Wajinga ndio waliwao! Arusha tunataka Lema atimize ahadi zake sio mbwembwe anazo fanya! Mbona Mawaziri Kivuli wengi wa CDM wametoa hotuba au hazikua na Maana? Lema tunataka maendeleo
Hivi ulipigia kura jimbo gani, juzi ulimwabia Sugu hayo hayo kuwa nyie wa Mbeya leo umekuwa wa Arusha kesho Wenje akiandaa maandamano utasema wa Mwanza hatujamtuma hayo nina wasiwasi kama ulipiga kura.

Hivi ulipigia kura jimbo gani, juzi ulimwabia Sugu hayo hayo kuwa nyie wa Mbeya leo umekuwa wa Arusha kesho Wenje akiandaa maandamano utasema wa Mwanza hatujamtuma hayo nina wasiwasi kama ulipiga kura.

Mzee wa posho ni mhemea ubwabwa wa Nepi.

atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho

kipi kichekesho hapo hawa sio wananchi na wapiga kura wake? acha dharau za kijinga m2 mzima, kwa taarifa yako hawa madereva taks na wale wa pikipiki ndo mtaji wa wanasiasa heb angaalia wakati wa kampeni karibu wote hukodiwa katika misafara ya wasiasa. chunga sana!!!!!!!

Arusha wanampenda mbunge wao tena wanamjali kwa ujasiri wa kusimamia ukweli pasipo kujali yupo maeneo gani.

Mtu Kajiita NOT ENOUGH unadhani anaakili huyo sisi tunasonga mbele kukomboa nchi hatuangalii nyuma kama hawajaamini wasubiri 2011 kama watakuepo nchi itakuwa ya CHADEMA

Back
Top Bottom