Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

Madereva wa daladala ni wapiga kura wake! ni sehemu ya wakazi wa A town!
Hakuna ubaya wowote kupokelewa nao, na la msingi atawahutubia wakazi wa Arusha ktk mkutano wa wazi pale NMC mchana huu kama mtoa mada alivyoeleza......!

aaaaaagah sasa walipukaji nao waende kuwapokea Mh Nohodha na Mh balozi Kagasheki kwa ule utetezi wao wa jana mjengoni!
wananchi si tulisikia waliyoyasema.....? yangekuwa yana mvuto na nadhani walipukaji wangejipongeza na wao leo..!!

Wajinga ndio waliwao! Arusha tunataka Lema atimize ahadi zake sio mbwembwe anazo fanya! Mbona Mawaziri Kivuli wengi wa CDM wametoa hotuba au hazikua na Maana? Lema tunataka maendeleo

Maendeleo kawaombe wananmagamba wanaoshikilia kodi zako, chadema hawachukui kodi yako. Lema kazi yake ndo hiyo anayoifanya bungeni ni kuiwajibisha serikali na kuishauri.

Kama wewe uko humu JF na hujui wajibu wa mbunge basi mbumbumbu kama wewe watakuwa wengi.

Acha kupotosha wananchi kazi ya kuleta maendeleo ni ya Serikali yenye mamlaka ya kuchukua kodi za wananchi!

Unamwomba Lema maendeleo huku kodi unawalipa magamba huna hata aibu?

Tungekutana uso kwa uso ungesithili matusi maana unaturudisha kwenye mawazo ya ujima na kutufanya tuendelee kudhurumiwa na magamba eti tumdai mbunge maendeleo!

Na sasa hivi moto utawaka maana mlizoea kuwagandamiza watu wa majimbo yaliyochagua upinzani kwa vile hawakuzijua haki zao. Lakini sasahivi watu wanajua haki zao mkileta upendeleo ni maandamano na watakataa kulipa hizo kodi .

Lema ni Tingatinga !

tukipata akina lema 100 tu kaz kwisha lazima tuingie ikulu kwa kazi moja tu ya kuwanyoosha mafisadi na kutetea maslai ya maskini.

"Only Absolute Truth is that there are no Absolute Truths"

Punda ni punda tu, na ndiyo maana haliwi japo ana kwato na anacheua!

Hiyo statement yako ni fupi lakini inavuka mipaka hadi kwenye desturi na imani za watu. Kumbuka, kwa baadhi yetu, punda ni chakula. Kwa wengine vingine visivyokuwa na sifa (kwato na kucheua) kama za punda, kama kweli hizo ndio sifa za mnyama kuwa chakula, bado ni chakula - nguruwe, ngamia, n.k.

Tusihukumiane kwa imani au desturi zetu kwani kwa hakika hakuna aliyekamilika katika hilo. Lengo daima liwe ni kumkabili yule adui; na adui wa taifa letu yuko dhahiri: si desturi zetu, wala imani zetu, wala jinsia zetu, wala elimu zetu, wala si makabila yetu, na wala si kanda zetu. Sote tunamjua.

Hiyo statement yako ni fupi lakini inavuka mipaka hadi kwenye desturi na imani za watu. Kumbuka, kwa baadhi yetu, punda ni chakula. Kwa wengine vingine visivyokuwa na sifa (kwato na kucheua) kama za punda, kama kweli hizo ndio sifa za mnyama kuwa chakula, bado ni chakula - nguruwe, ngamia, n.k.

Tusihukumiane kwa imani au desturi zetu kwani kwa hakika hakuna aliyekamilika katika hilo. Lengo daima liwe ni kumkabili yule adui; na adui wa taifa letu yuko dhahiri: si desturi zetu, wala imani zetu, wala jinsia zetu, wala elimu zetu, wala si makabila yetu, na wala si kanda zetu. Sote tunamjua.

Pole na sorry kwa kukukwaza kwa kitoweo chako unachokipenda mkuu yaani punda!
Nilikuwa naennda zaidi kenye maana kuliko uhalisia wa msemo wenyewe...
Umenipata?

Big up saaaaaaaaaana machalii wangu wa 'A' Town; hakika wenzetu huko mko juu kama ndege ya Obama kwa kutuchagulia huyu Kamanda wa ukweli Mh Godbless Jonatha Lema.

Arusha hoyeeeeeeeeeee!!!! CHADEMA hoyeeeeeeeeeee!!! Kamanda Lema hoyeeeeeeeeeeeeee!!! Machalii wote kote nchini hoyeeeeeeeeeeeeeeee!!!

wana JF,

Leo majira ya mchana Kamanda wa kikosi cha ardhini Mh. Godbless Jonathan Lema (MB) atapokelewa na madereva wa daladala pamoja na wananchi wengine wapenda haki katika maeneo ya Kisongo akitokea dodoma, na kuelekea mjini na kufanya mkutano katika uwanja wa NMC.
Mh. Lema atatokea dodoma mida ya saa sita, na kufika Kisongo majira ya saa nane au saa tisa.

nawakilisha

kweli kuna w2 humu ndani akili zao hazina akili unachek lema kupokelewa na madereva wa daladala we unadhani wanaoendesha vogue ndo walimuweka madarakani?we chalii unawaza maniaje niaje humu ndani!tafakari

Back
Top Bottom