Hii chanjo ni hiari, sio lazima. Sioni sababu ya zogo. Kama hutaki kaa kimya usitake ku influence na wenzako.
Mbona yellow fever hatuchanji mpaka uwe na safari kwenda ambako lazima uchanje na hakuna anayepiga kelele.
Wale wa kununua vyeti kama vya yellow fever wala hawapigi kelele, wanasubiri wajue bei tu 🤣