Mapokezi makubwa yamsubiri Dk. Slaa Katavi, Polisi waanza

Kwa masikitiko makubwa sana naomba nikupatie majibu yako kuwa vipimo vinaonyesha umeathirika huko kunako tigo, hivyo wewe ni bwabwa. Kwaheri na nakutakia maisha mema ya kuwa mke

Ha ha ha JF BRONZE MEMBER huu ndo mchango wako,ni hasara sana na kilio kwa taifa kuwa na watu kama wewe!ni kilio na msiba mzito
 
Tumaini Makene nimekupa like lakani unaniudhi sana mkuu
Kwanini unachelewa kuweka picha na mara nyingine huweki kabisa pichaaaa?

Wengine tunapata habri hapa jf tu
 
Last edited by a moderator:
Mwambie bi mkubwa afunge kichau kula hukohuko manake hawa jamaa nasikia wamejipanga ukishapiga kura urudi nyumbani majibu utayapata huko huko kama sio wizi ni nini.

Sasa ulitaka majibu nani akuletee kura umepiga mwenyewe na majibu uletewe we mzembe kweli?
 
Sasa ulitaka majibu nani akuletee kura umepiga mwenyewe na majibu uletewe we mzembe kweli?

Hujaelewa mdau enzi za mwalimu watu walikuwa wanapiga kura na zinahesabiwa sasa watu walikuwa wakilinda ili wasiongeze masanduku mengine ya kura ila kwa sasa kuna mfumo wa kisasa waki electronic sasa watakuambia unalinda nini wakati kura zinajihesabu zenyewe sasa hapo ndipo yale magari 700 waloyoagiza yatakapopata kazi ya kufanya,na hapo ndipo jamaa wa I.t wa ccm watakapofanya yaao.
 
Jibu swali wewe unayeleta dharau kwa kudanganya umma,huyo rais wenu mmemwapishia wapi??au chini ya mwembe?

Huyu Ni Rais Anaesubili Kuapishwa Tu Hata Wewe Unajua Ila Unajifanya Kijitoa Ufaham, Yani Kama Ni Tim Bas Ilishatangaza Ubingwa Bado Kukabidhiwa Ubingwa Tu,
 
Huyu Ni Rais Anaesubili Kuapishwa Tu Hata Wewe Unajua Ila Unajifanya Kijitoa Ufaham, Yani Kama Ni Tim Bas Ilishatangaza Ubingwa Bado Kukabidhiwa Ubingwa Tu,

Labda ataapishiwa kuzimu teh teh UKAWA anakuja Prof Lipumba ndo anapita na yeye juZi kati alikua analialia Tabora anawaambia wananchi eti nani kawaloga kwa nini hawamuelewi teh teh teh ni sheedah
 
Hujaelewa mdau enzi za mwalimu watu walikuwa wanapiga kura na zinahesabiwa sasa watu walikuwa wakilinda ili wasiongeze masanduku mengine ya kura ila kwa sasa kuna mfumo wa kisasa waki electronic sasa watakuambia unalinda nini wakati kura zinajihesabu zenyewe sasa hapo ndipo yale magari 700 waloyoagiza yatakapopata kazi ya kufanya,na hapo ndipo jamaa wa I.t wa ccm watakapofanya yaao.

Acha nadharia wewe na kufikiri kajiandikishe usubiri siku ya uchaguzi kama ni kushinda utashinda tu!
 
Huyu ndiye Rais tunayemtaka mwenye safari ya uhakika na sio safari ya matumaini.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom