Kilago alikuwa mke wa nani? Tena kale kazee kasivyo na aibu kakaridhi hadi watoto wa Kilango. Kasivyo na haya kazee ka miaka 98 kanakwenda kupora mke mwenye umri sawa na watoto wake wa kiume..Siye wenye macho akili mkichwa.
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!
Le Mutuz
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
- Hujaiona hoja yangu kwamba Kiongozi ambaye haoni tatizo kuishi na mke wa mtu bila kumaliza taratibu za kisheria, hawezi kuwa kiongozi mzuri wa Taifa? Unaonaje hiyo?
Le Mutuz
Thank you and blessidiot.....
You cross line, You can talk about me or my G, but not my Mom. Tujifunze heshima kwa Mama zetuKinakuuma nini? Ulitaka aende honeymoon na mama yako?
Na wewe sindio msaidizi wa josephine mnapokezana kumlea babu
Ushashindiliwa chenye ncha tamu? Hahahahahahahaha Mzito Kabwela njoo huku huu mnyoo umerudi..Mipunga utaijua tu sasa mtoto wa kiume utamu unausikiaje?
Ukitaka mama yako aheshimiwe heshimu kwanza mama wa wenzakoYou cross line, You can talk about me or my G, but not my Mom. Tujifunze heshima kwa Mama zetu
Lini nimemtukana mama yako?Ukitaka mama yako aheshimiwe heshimu kwanza mama wa wenzako
Soma hapa Chini mkuu FitinamwikoYou cross line, You can talk about me or my G, but not my Mom. Tujifunze heshima kwa Mama zetu
Ukitaka mama yako aheshimiwe heshimu kwanza mama wa wenzako
Lini nimemtukana mama yako?
Na wewe sindio msaidizi wa josephine mnapokezana kumlea babu
Ila baba yako aliyemwachia machungu yule mzee wa kipare kule Moshi mpaka leo kwa
kumchukulia mke wake Anna Kilango alikuwa sahihi?? kwa sheria gani iliyomruhusu kufunga ndoa na mke
wa mtu,kama si njaa ya wale wazee maaskofu na wachungaji wa Anglikana'
Suala si kumtukana mama yake. Elewa Josephine ni mzazi pia, watoto wake wanahitaji kuona mama yao akiheshimika kama unavyotaka wewe mama yako aheshimike. Unaelewa wazi kabisa kuwa Josephine ni mke wa Slaa, kwamba ana shida kwenye ndoa yake ya awali hilo ni jambo linguine. Sasa uwe na nidhamu kwa Josephine ili na wengine wawe na nidhamu kwa mama yako. Kama neon honeymoon ni tusi kwa nini umelitumia kwa Josephine na Slaa ilhali ukijua hawakwenda kwenye honeymoon na wala hilo jambo halipo?
Mbona hatukutangaziwa ili tujue wewe ulifanywa lini kuwa halali kisheria kuwa ni ndugu na akina Sechelela????
kwa baba?hapo uongozi mzuri wa mzee ulikuwa wapi?
Umewahi kusoma post za Josephine hapa JF? Josephine ana provoke watu, mimi nikiwa mmoja wao. Hata siku moja sijamtukana Rose Kamili, japo napinga uteuzi wake wa Ubunge viti maalum. Kila ukweli tutakaosema kuhusu Josephine ni tusi kwa mashabiki wa CDM. Kitendo cha Josephine kuvunja nyumba mbili, tukizungumza pia ni tusi. Kama Josephine ndio kigezo cha kumtukana mama yangu, I don't care, just do itSuala si kumtukana mama yake. Elewa Josephine ni mzazi pia, watoto wake wanahitaji kuona mama yao akiheshimika kama unavyotaka wewe mama yako aheshimike. Unaelewa wazi kabisa kuwa Josephine ni mke wa Slaa, kwamba ana shida kwenye ndoa yake ya awali hilo ni jambo linguine. Sasa uwe na nidhamu kwa Josephine ili na wengine wawe na nidhamu kwa mama yako. Kama neon honeymoon ni tusi kwa nini umelitumia kwa Josephine na Slaa ilhali ukijua hawakwenda kwenye honeymoon na wala hilo jambo halipo?
Josephine ni mke wa babu Slaa tangu lini?, wewe ndio ulifungisha ndoa?, acha kuhalalisha uzinifu kaka.
Josephine ni mke wa babu Slaa tangu lini?, wewe ndio ulifungisha ndoa?, acha kuhalalisha uzinifu kaka.
Habari za Rose Kamili zifungulie thread yake tutajadili, kwa sasa tunamjadili Josephine. Kwamba kavunja ndoa mbili au kumi wewe zinakuhusu nini? Ulitaka wewe ndio uvunje ndoa ya Slaa? Basi mwagize na mama yako akaivunje na hii ya Josephine kama unadhani kuvunja ndoa ni kitu rahisiUmewahi kusoma post za Josephine hapa JF? Josephine ana provoke watu, mimi nikiwa mmoja wao. Hata siku moja sijamtukana Rose Kamili, japo napinga uteuzi wake wa Ubunge viti maalum. Kila ukweli tutakaosema kuhusu Josephine ni tusi kwa mashabiki wa CDM. Kitendo cha Josephine kuvunja nyumba mbili, tukizungumza pia ni tusi. Kama Josephine ndio kigezo cha kumtukana mama yangu, I don't care, just do it