Hii umeiwekea na carrot, mpaka nimeitamani, yaani!!
yap!carrotHii umeiwekea na carrot, mpaka nimeitamani, yaani!!
Daaah tunahariniana dieti
Hizo procedure ziko wapi!? Uliweza connect watu huko skype? Tunaanzaje kujua kama ni kazi ya mikono yako...picha hizi mmmhKaribu thanaView attachment 809864
Karibu unywee chai. Naona wewe mgeni humuHizo procedure ziko wapi!? Uliweza connect watu huko skype? Tunaanzaje kujua kama ni kazi ya mikono yako...picha hizi mmmh
Nataka kukaribia kweli...nipe route!Karibu unywee chai. Naona wewe mgeni humuView attachment 810416
Panda bombardier shuka mwishoniNataka kukaribia kweli...nipe route!
Mkuu nkajua natakiwa kupanda drimu laina! Inaonekama unakaa vichochoroniPanda bombardier shuka mwishoni
hhhahaha mm wa diet siwezi hyo ligiDaaah tunahariniana dieti