Msaada jinsi ya kuangalia match live kwenye television

jangala22

Member
May 20, 2021
47
51
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv nataka nifanye hvy kwenye tv sasa nifanyaje msaada hapo
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom