Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,971
- 132,621
Dada Rebeca, hapa umesema kweli, yeyoye atakayekubishia, anabisha tuu.hello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......2.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….
Na hili ndio lililo wainua wakulima wa katani wa brazil, baada ya kutegemea kuexpoet katani wameanzisha viwanda vya kamba, carpets na sasa ni nchi ya Kwanza Duniani kwa uzalishaji wa katani.Jinsi ulivyoweka maneno hayo hapo juu. Angalia hii issue kitaifa bila serikali kutumia fedha kuanzisha viwanda. Ondoa wazo kuwa serikali itaanzisha viwanda.
Kwa mfano, kuna kiwanda cha sukari kinajengwa na kuna mualiko wa watu kujiunga kuanzisha mashamba ya miwa. Tayari hicho kiwanda kimesisimua sugarcane production.
Katika plantations za miwa kutazuka biofuel production if possible na ndivyo Brazil wanavyofanya. Industry stimulating large scale farming and stimulating other industry.
Haya mambo mbona yanafanyika Pwani as we speak? This is not the time for petty issues, we are lagging behind.
Hapa pia panahitajika pafanyiwe kazi ili akitokea rais wa aina hiyo sisi tuweze kusonga mbele tunapopahitaji.Tatizo kila raisi akija anakuja na kipaumbele chake, kabla kitu flani hakijaendelea, kinaachwa kinafuatiliwa kingine, kwahiyo ni ngumu sana sisi kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia tume centralized karibia kila kitu.The gap between pronouncements and implimentation is very wide in this country mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kama mko on the same chapter sema terminology mnazotumia zinawafanya mjione mna mawazo tofauti.Unaposema value addition, hapo ndipo unapozungumzia manufacturing.
Usitegemee mkulima mwenzako akutengenezee kiwanda cha mazulia au tomato sauce.
Kuna kila sabau ya kumuunga mkono aliyeleta hii mada muhimu kwa watanzania walio wengi amabo ni wakulima na wafugaji. Sio kweli kua nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea kilimo. Kinachtakiwa ni kua na viwanda vya kuongeza thamani mazao yatokanayzalishwa ili tuuze nje bidhaa zilizoshaongezwa thamani. Investment inayotakiwa kwenye kilimo ni ile ya miondombinu ya umwagiliaji, uanzishwaji wa miradi mikubwa ya umwagiliaji ikiwa ni pamoja kujenga mabwawa ya umwagiliaji kwenye mito mikubwa ili maji yatumike na sio kuishia baharini, kuimarisha utafiti ili kutoa teknolohia bora za kilimo, kuimarisha idara za ugani. Kufufua yale mashamba makubwa ya ngano ambayo leo hii mengine yamekua ni mapori.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Pamoja na kutoa ruzuku kwenye mbolea, mbegu kwa wakulima na madawa ya mifugo kwa wafugaji. Pesa zitokanazo na madini, gesi na utalii ziwe reinvested kwenye kilimo. Hii ni kwa uchahe. Kilimo kisipoimarishwa maisha bora kwa watanzania itakuani ndoto.Kuboresha sekta ya kilimo ni jambo jema sana, ila nchi haiwezi pata maendeleo kwa kutegemea Kilimo Pekee.
Mkulima mdogo ni nadra sana, almost impossible kufanya food processing. Muda na resources ni limited na hata akifanya processing ni kwa ajili ya matumizi yake.Naona kama mko on the same chapter sema terminology mnazotumia zinawafanya mjione mna mawazo tofauti.
Value addition inawezwa kufanywa na mkulima mkubwa pia.(in-sourcing)
Au inawezwa kufanywa na mtu mwingine kabisa ambae sio mkulima (kwako wewe umetumia manufacturing).
Kwa njia zote hizo naona mko sahihi midhali output na quality imeongezeka. Na pia tumetoka from peasantry to farming