MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Nimemwambia haya kwenye Bandiko namba #15. Uchumi wa viwanda unaweza faidisha nchi lakini hufanywa na watu wachahe wenye mitaji (middle class) na wenye elimu (Skilled labour)waishio mjini. Kilimo ni rahisi sana kubadilisha maisha ya watu wa kijijini ambao wengi hawajasoma lakini wana mtaji mzuri (Ardhi yenye rutuba)maendeleo ya haraka!!?..unakimbilia wapi!!?..kutoka kilimo mpaka viwanda inachukua muda gani!!?..ukizingatia elimu ya wakulima wa tanzania!?..unalala angani nini ndo kisa unaota ndoto za ajabu...
hebu boresha kilimo kwa kukifanya kiwe cha imwagiliaji,kisha mkulima auze mazao yake nje...baada ya hapo uje uangalie maisha ya mkulima baada ya miaka mitatu..sio mnaongea tu wakati kulima hamlimi,takwimu za kilimo biashara hamna..kilimo kwanza then viwanda vya kuchakata bidhaa za kilimoKuboresha sekta ya Uchumi ni jambo jema sana, ila nchi haiwezi pata maendeleo kwa kutegemea Kilimo Pekee.
Nakubaliana na wewe kabisa, japo ukweli ni kwamba kilimo kinaweza kupunguza umasikini kwa nchi kama Tanzania bila kutumia gharama kubwa. Hayo mengine yafanywe lakini vitu kama kilimo visipuuzwe kabisa, maana mpaka leo hii nchi yetu haifanyi kilimo inavyotakiwa.Kuboresha sekta ya Uchumi ni jambo jema sana, ila nchi haiwezi pata maendeleo kwa kutegemea Kilimo Pekee.
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums karibu tulimemkuu sasa ulitaka tuinvest kwenye nini kama wananchi asilimia yote hio wanategemea kilimo??
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums kabisaNakubaliana na wewe kabisa, japo ukweli ni kwamba kilimo kinaweza kupunguza umasikini kwa kama Tanzania bila kutumia gharama kubwa. Hayo mengine yafanywe lakini vitu kama kilimo visipuuzwe kabisa, maana mpaka leo hii nchi yetu haifanyi kilimo inavyotakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kilimo ni jambo muhimu lakini kilimo nacho kinategemra sekta nyingine kama viwanda kutengeneza zana za kilimo,mabenki kukopesha sekta ya wakulima,sekta ya usafirishaji kama reli,barabara,meli na ndege ili kusafirisha mazao.hello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….
1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….NYINGINE ONGEZEENI...lol
Mbali na kuuza nje ya nchi na kupata fedha, kilimo bora Food Security kwasababu ya uwepo mwingi wa chakula kitu ambacho hupelekea kushuka chini kwa bei za vyakula(which is highly needed now). Hapa watu watapata mitaji ya kuwawezesha kufanya shughuli nyingine za kiuchumi....hebu boresha kilimo kwa kukifanya kiwe cha imwagiliaji,kisha mkulima auze mazao yake nje...baada ya hapo uje uangalie maisha ya mkulima baada ya miaka mitatu..sio mnaongea tu wakati kulima hamlimi,takwimu za kilimo biashara hamna..kilimo kwanza then viwanda vya kuchakata bidhaa za kilimo
Actually kilimo hufanywa na watu wachache na manufacturing hufanywa na watu wengi. Unapoanzisha viwanda, unachochea migration ya wakulima na unachochea ukuaji wa miji midogo kuwa mikubwa au vijiji kuwa miji.Nakubaliana na wewe kiasi, lakini ukweli ni kwamba Tanzania bado ni nchi masikini hivyo tunahitaji sana kilimo hasa vijijini ili kuondoa utegemezi kwa Serikali. Viwanda huwa vinakuja lakini shughuli zake hufanywa sana na Middle Class ambao hupendelea kuajiri sana Skilled and Cheap labour. Uchumi wa watu wa mjini na vijijini hutofautiana sana hivyo kutumia kilimo nadhani ni njia rahisi ya kuinua per capita ya watu masikini kuliko viwanda ambavyo vinaleta maendeleo ya haraka lakini shughuli zake hufanywa na watu wachache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe data?Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Hiyo ilikuwa slogan ya kisiasa tu hakukuwa na lolote. Wajanja walikopa pesa kwa ajili ya kununua pembejeo za kilimo na kuwakopesha wakulima kumbe danganya toto.Walishaivest umesahau kilimo kwanza?
Elimu ya wakulima wa Tanzania italetwa na kupewa pembejeo za bure?maendeleo ya haraka!!?..unakimbilia wapi!!?..kutoka kilimo mpaka viwanda inachukua muda gani!!?..ukizingatia elimu ya wakulima wa tanzania!?..unalala angani nini ndo kisa unaota ndoto za ajabu...
nini kifanyike?Elimu ya wakulima wa Tanzania italetwa na kupewa pembejeo za bure?
Unadhani kutoka kilimo mpaka viwanda inakuja automatically au inabidi ije by design? Wewe sasa ndiyo unaota ndoto za ajabu.
Yaani, viwanda vitakuja tu tartibu baada ya miaka 100 au 200?
Unataka kupeleka korosho asia na kubaki na ulaka. halafu mwakani mrudie tena hayohayo.
Nchi zote za Ulaya magharibi, Marekani na Canada.Tupe data?
Viwanda vinategemea malighafi,
Malighafi nyingi zinatokana na kilimo
Binadamu ili aishi anategemea mazao ya kilimo.
Narudia tupeni data halisi hacha kupotosha watu.
Viwanda vianzishwe.nini kifanyike?
Bwana Kobello unavyosema Industrialization inaajiri watu wengi kuliko Agriculture umechukua takwimu za nchi gani hadi ukasema hivi ? Industrialization imeajiri watu wengi sana kwenye nchi za Magharibi ambazo ni za kibepari kiasilia, hivyo basi kilimo huwa na watu wachache sana kwasababu ni Large Scale tofauti na sisi ambao ni Subsistence Agriculture. Kule watu wanaofanya kilimo nchi zilizoendelea hufanya kilimo kwa biashara tu, sisi tunazalisha ili tule na tuuze. Tafadhali ona hii tofauti yetu Tanzania na Marekani.Actually kilimo hufanywa na watu wachache na manufacturing hufanywa na watu wengi. Unapoanzisha viwanda, unachochea migration ya wakulima na unachochea ukuaji wa miji midogo kuwa mikubwa au vijiji kuwa miji.
Pia kuna vitu kama REA. Huu mradi kama hautakuwa coupled na industrialization drive, faida yake aitakuwa kubwa, watu watalima mahindi na mihogo na watashindwa hata kulipia gharama za huo umeme.
Ukichochea uzalishaji wa kilimo tu, utakuwa na surplus for export, na hii haitakufikisha popote pale bali kukubakisha kuwa taifa linalolima na kuuza mazao nje na kununua manufactured products.
Unapochochea manufacturing unachochea population inayofanya kazi za viwandani ambayo itataka kula na itakuwa tayari kununua vyakula vinavyolimwa na watu wachache than before factories were established. Wakulima wachache, wenye soko kubwa la ndani watalima efficiently through mechanization,genetic engineering etc na kuchochea biashara na service industry.
Viwanda pia vinaleta technological transfer. naamini hata tu kwa mfano mdogo sana wa waajiriwa wa Tazara overpass, kuna watu wamejifunza welding, ujenzi, kuendesha bulldozers etc.. au angalau kuchochewa kujifunza hayo.
So, industrialization itoe focus kwenye investment of capital in manufacuring either from private sector or PPP. Na itanguliwe au iende sambamba na uendelezaji wa infrastructure.
Sawa, lakini jua kwamba hata hizo nchi ulizozitaja, zilikuwa na asilimia kubwa ya uchumi wake chini ya kilimo na watu wengi walikuwa wameajiriwa na kilimo.Bwana Kobello unavyosema Industrialization inaajiri watu wengi kuliko Agriculture umechukua takwimu za nchi gani hadi ukasema hivi ? Industrialization imeajiri watu wengi sana kwenye nchi za Magharibi ambazo ni za kibepari kiasilia, hivyo basi kilimo huwa na watu wachache sana kwasababu ni Large Scale tofauti na sisi ambao ni Subsistence Agriculture. Kule watu wanaofanya kilimo nchi zilizoendelea hufanya kilimo kwa biashara tu, sisi tunazalisha ili tule na tuuze. Tafadhali ona hii tofauti yetu Tanzania na Marekani.
Hebu ngoja nimalize kazi ntakuja kukujibu hizi hoja zako zote. Maana hadi huko kwenye REA nilibahatika kuwepo na hivyo nafahamu changamoto zake chache....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi New zealand kilimo na bidhaa zake ndiyo walikuwa wanachangia sehemu kubwa kubwa ya GDP yake na kipindi hicho ilikuwa moja ya nchi yenye per Capita kubwa sana.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutegemea kilimo. Nchi zote hujitoa kwenye kutegemea kilimo ili ziwe na maendelea halisi ambayo ni ya viwanda.
Kilimo cha wengi hudumaza uchumi na kuchochea umaskini. Kilimo siyo njia ya haraka ya kututoa kwenye umaskini.Nimemwambia haya kwenye Bandiko namba #15. Uchumi wa viwanda unaweza faidisha nchi lakini hufanywa na watu wachahe wenye mitaji (middle class) na wenye elimu (Skilled labour)waishio mjini. Kilimo ni rahisi sana kubadilisha maisha ya watu wa kijijini ambao wengi hawajasoma lakini wana mtaji mzuri (Ardhi yenye rutuba)
Sent using Jamii Forums mobile app