Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
hello JF,
Mie naona kwa vile taifa letu 80% wanategemea kilimo
Then serikali inge invest huko sio kununua ndege..
Ndege ni maendeleo lakini hio pesa ingewekwa kwenye kilimo,kusingekua na malalamishi ya mtaani kugumu…
Tuishaurini serikali iielekeze nguvu kwenye kilimo na kukomboa uchumi wa mtu mmoja mmoja….

1.Magufuli awe flexible,asikilize ushauri wa mawaziri wake,mie statement yake kuwa anakesha kuangalia ma file iliniambia mkuu anapenda kuchukua au kufanya kazi peke yake sio team player,hivyo kuwafanya mawaziri wake kuwa passive,sababu wanaona hawashirikiswi na kuna uoga wa kum confront rais.Hii atmosphere sio nzuri,ibadilike kama tunataka ku move forward...
2.Ningependa kuona courses za kilimo kwenye vyuo vikuu ziko nyingi na tofauti,FEES kwa hizo course ziwe ALMOST FREE,itawaencourage watu kujiunga na kusoma mambo ya kilimo,kuajiri au kuajiriwa skills ziwe part ya hizi courses pia......
3.Kuwe na workshops ndogo ndogo zinazo run throughout the year,zinazofundisha mambo ya kilimo,kwa mfano nimeona huko jukwaa la kilimo watu wanauliza nataka kujiajiri kwenye kilimo ila sijui nianzie wapi au mtaji nitenge shilingi ngapi?,au nilime nini? naamini kungekua na hizi workshop majibu yao yangepatiwa ufumbuzi na kuwapa confidence...kufanya wanayotaka….
NYINGINE ONGEZEENI...lol