Mapinduzi Yaliyoshindwa ya DARUSO 2002/3

Status
Not open for further replies.
Maybe we should discuss facts and not who went out with who ? Dada wa. FOE
 
Wazee ninapoisoma thread hii, ndio nafunguka macho na kujisikia vibaya sana kwa vile na mimi nilikuwa UD kipindi hiki ila nilikuwa too busy kubalance academic na ujasilimali hivyo sikushiriki kabisa politics za Daruso, my honest opinion niliwaona wanavugu vugu karibu wote wa Daruso kama vi puppets fulani hivi, huku wengine wakiitumia Daruso kuganga njaa.

Sasa nikiwaangalia kina Zitto walipo na baadhi yao, ndipo nimerealize kuwa kama una any political ambition na ukasoma UD bila kushiriki siasa za chuo, was a missed opportunity.
There is no too late on anything, and better late than never although sometimes things turns so fast such that decisions comes too little too late!.

Hongereni sana wanaharakati wa Daruso wa enzi hizo.
 
Maybe we should discuss facts and not who went out with who ? Dada wa. FOE

What do you mean by the facts? may be you do not understand well what does that word mean, you sentence is contradicting itself; it seems there is some thing you intended to express but you can not give its context in English or Anglo-language try Kiswahili!
 
Hii chai yako haijakaa vizuri umetia sukari sna wewe hauna uwezo huo; we ni mtu wa wanawake inasemekana ulikuwa Biz na mtoto mmoja wa Kike Mkerewe babae akiwa Lecturer UDSM; sidhani kama unaweza kuwa robo ya Omary na Chembe ya Zitto Zuberi, alafu mbona una ID Mbili humu katika hii story??!!!!!

sikumbuki kutaka kujilinganisha na Omary wala Zitto. Na sihitaji kuwa hata robo ya Omary au chembe ya Zitto. Ni mjadala ambao hauna tija. Ingekuwa rahisi ukianzisha thread yako ya "Albert ni mtu wa wanawake na alikuwa anatoka na Mkerewe ambaye baba yake alikuwa Lecturer".

sina tatizo na maoni yako kwa sababu ni kweli sichukii wanawake hata kidogo.

wakati namaliza maelezo yangu niliandika kwamba wengine wanaweza kusahihisha nilipokosea kwa kumbukumbu au vinginevyo. Unaweza kusahihisha pale nilipokosea. Ni haki yako.
 

LOL! Alberto Msando you never cease to amaze me! jibu lako lina maana pana sana, kwa kifupi umejibu vizuri sana
 
Historia ni nzuri sana. Nadhani wale tulioshiriki siasa za DARUSO tuandike ili kuweka kumbukumbu. Hata hivyo, mapinduzi yale mimi sikushiriki. Nilisimamishwa masomo kwa kudhani tu kuwa Zitto alishiriki.

Kwanini wakudhanie wewe tu mkuu?
 
LOL! Alberto Msando you never cease to amaze me! jibu lako lina maana pana sana, kwa kifupi umejibu vizuri sana

Nakushukuru ndugu. Unfortunately Alberto Msando has always remained the same except with the bald head and growing gradually old!

Otherwise in all honesty I appreciate your previous email. I gave it a second thought and came to realize that it is always good to hear the opinion of another soul about me. Not everyone will be bold to come up and throw a dirty towel on me and that is a weakness inherent in many friendship. I can say, it is human nature. We can not comfortably tell those we know or friends an ugly thing for the fear of friendship.

I am happy also you think highly of Zitto and Omary who remain my friends. i do the same even if in few occasions I get irky for some things done or said by them. That is what confirms a friendship, the ability to remain friends in disagreements. I will reiterate that I never would try to be them or like them, we both have different paths to take.

Remain blessed.
 
Mapinduzi yalishindikana kwa sababu kulikuwepo na kambi mbili zilizo organize mapinduzi kila moja ikitaka kudhibiti ushindani kutoka kwa kundi lingine. Baadhi ya makamanda walikuwa both camps. Sidhani kama ilikuwa dhahiri kwamba there were two competing camps with common agenda.

Lakini kuropoka kwa yule mtoto wa kimasai ambaye alikuja kuwa famous ndo kulifanya utawala kuweza kuparaganyisha

lakini hebu tafakari, kundi lile la udsm kipindi kile kuanzia kunji la 2001 hadi 2005, ndilo linalo drive mapambano ya mabadiliko tz kwa sasa.
 

Yaani usipime. Nakuunga mkono kabisa, angalia yaliyomkuta Marmo na anakoelekea Mwakyeme. Ndani ya miezi 2 ya uwaziri huyu siyo yule Mwakyembe aliyekuwa kwenye bodi ya NBC
 

Sorry, nilikuwa sijaipitia hii post ndo maana hapo juu nimesema kulikuwa na makundi mawili yaliyo organize mapinduzi. Nikusahihishe lakini, huyo u
zotto alikuja kudakia kipaza sauti tu na ndiyo maana alikuwa kwenye list ya waliosimamishwa pamoja na yule mtoto wa kimasai nimemsahau jina.

uoga wa Alberto kushika kipaza sauti ndiyo sababu pekee, kwa maoni yangu, iliyofanya well planned strategy kushindwa.
 

Alberto bana sema ukweli. You never liked zitto kwani ulikuwa unastrategize againgst him kila usiku! Ulikuwa unakusanya evidences againgst him hadi alipotoka madarakani. Problem was, you never liked Ruge either so ulikosa strong insider backing.

Lakini at the end baada ya zitto kutoka madarakani na kufanikiwa kusambaratisha mpango wake wa kumrithisha demu wake madaraka, tofauti zilitoweka. Zitto mwenyewe alijivuna kwamba hana marafiki/maadui wa kudumu bali interest ya kudumu. Huyo Omar by then alikuwa mvuta bangi tu ndo maana hata wakamchana viwembe pale Nkuruma wakati wa kumnadi shemeji yake, Mary mugurusi. Nobody took him serious na ndo maana watu walipuuza human right chapter ya udsm wakati ule kwa sababu tu iliongozwa na Omar.
 
Vijana msipende kutumika bila kutumia akili zenu vizuri
 
Dahh, vijana wa UDSM, hata wakimaliza chuo wanaendeleza maisha ya Chuoni kumbe.

Wakataka sasa kupindua hadi Serikali ya CHADEMA.

Kumbe Usaliti mbaya sana na ukiuendekeza, utasaliti hata ndugu zako.

Kuna haja ya CHADEMA kuwa makini na hawa vijana waliojifunza kusaliti tangu wakiwa UDSM au sijui chuo gani.
 

UDSM bila Mzee Punch.

Poleni sana
 
Usaliti uko kwenye damu zao.
 
Huu uzi umenikumbusha mbali. Historia umfuata mtu. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na bomu la machozi barabara ya mwenge kuingia udsm.
 
Wazee mnanikumbusha Revolution square
..Revolution...........for ..........
..Revolution...........for .....
..Revolution...........for .....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…