Moderators tunaomba msifunge au kuhamisha hii thread...........................! na wala Usalama wa Taifa usiwatishe!
Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. .
Mkuu nakubaliana na wewe 100% ila tatizo ni hawa wenzetu kwenye vyombo ulivyovitaja hawa ni washirika wakubwa wa watawala kwani wamekubali kurubuniwa kwa kupewa marurupu mengi ambayo hawastahili hivyo kutumika kuimarisha udhalimu unaofanywa na wakoloni weusi. Mfano hai ni jinsi JWTZ na TISS alivyoshiriki kuibaka demokrasia wakati wa uchaguzi mkuu 2010,rejeeni vitisho vya Gen. Shimbo aliposema wapinzani lazima wakubali matokeo, rejeeni pia kauli za Jack Zokka kumkejeli Dr. Slaa kipindi kile cha uchaguzi,hawa si wenzetu ni adui tu kama walivyo mabwana zao wakoloni weusi.Kinachotakiwa ni wapambanaji nje ya vyombo hivyo kuanza kuwashughulikia wakubwa wa vyombo hivi kwani ndiyo wanaotumika.La msingi watu tusiogope damu kumwagika kwani wakoloni siku zote ni ving'ang'anizi kuwabandua lazima itokee tafrani.
mkuu hata mimi hii kauli ilinishangaza nikagundua kuwa alitaka tu urais na sio kutatua matatizo yanayoikabidhi TZjk sio mawingu y mvua aende akanyeshe mtera.. Hii kauli sitausahau..jibu rahisi kwenye mambo magumu ..
nimeipenda hii R I P Kikwete!!JK, i nw believe that leadership is a talent...he doesn't seem to have one....i think he s missing a particular ingredient which is important to a leader....anyway, we still ve about 4 years to waste.....hopefully, we ll forget him.....he has wasted our good 10 yrs RIP Kikwete!! 5 minutes ago · LikeHii nimeitoa facebook, jamaa wanamchana sana sana Kikwete na utawala wake
mkuu slaa tulimwelewa sana ila yeye alitumia zile njia zao 10 ambapo slaa alikua na njia moja tu ya raia kumchaguaPlz dnt blame and dnt b harsh 2 him coz hata kaul anazotoa czan kama anafikiria kabla ya kuongea the onlx thng 2 knw is that WE Tanzanians we've grant seeds 4 our own Destruction.coz during election 2lielezwa na Dr SLAA bt wengi 2lishndwa kufanya maamuzi sahihi 2kaangukiwa kudanganywa na Tabasamu la KINAFIKI la The King of Embazzlement Mhe:FISADI JK wa pili.
Mchungaji asante kwa topic hii, mimi binafsi nashukuru Mungu kwa kutupa kiongozi legelege Kikwete bila huyu tungeendelea kujipumbaza kuwa mambo yetu super lakini sasa kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu kwa wananchi ndivyo mapinduzi yanavyokaribia,Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Kuna wakati nilikuwa naatend mafunzo fulani katika moja ya vyuo vya ufundi vya kijeshi hapa nchini. Na wakati wa mapumziko nilikuwa nimekaa na wanajeshi wapatao kama 30 had 40 hivi tunapiga story. Tulikuwa kwenye vikundi vya watu watatu hadi wanne tukipiga story.Mchungaji tunatakiwa kwenda mbali zaidi bado wenzetu katika vyombo vya dola havija tuunga mkono vya kutosha tunahitaji zaidi michango yao hasa kama wataanzisha sabotage mapema na hata operation ya kuwateketeza viongozi wanaotuangamiza, lazima sasa Jeshi na Usalama wa Taifa wajitenge waunde kikosi maalum cha siri kuwashughulia hawa watu sijui kwanini bado wamelala wakati Taifa lina angamia.
jk sio mawingu y mvua aende akanyeshe mtera.. Hii kauli sitausahau..jibu rahisi kwenye mambo magumu ..
Umenikumbusha ule wimbo wa Chama chetu cha mapinduzi. Siku hizi siusikii kabisa, nadhani ulikufa mara tu baada ya kifo cha Nyerere
Kuna wakati nilikuwa naatend mafunzo fulani katika moja ya vyuo vya ufundi vya kijeshi hapa nchini. Na wakati wa mapumziko nilikuwa nimekaa na wanajeshi wapatao kama 30 had 40 hivi tunapiga story. Tulikuwa kwenye vikundi vya watu watatu hadi wanne tukipiga story.
Mimi nikaingiza tu wazo la hali ya nchi inavyokwenda na kuilaumu serikali akiwemo Rais Kikwete. I expected kwamba jeshi lingekuwa kinyume na mimi or wangenishambulia. Huwezi amini, baada ya kuanzisha topic hiyo wanajeshi wote walinyamaza kimya wakanisogelea kunisikiliza, na mmojawapo akasema yafuatayo: "Sisi kama jeshi hatuwezi kufanya mapinduzi, maana tukifanya hivyo tunaweza kujikuta tumekosa support ya wananchi. Ninyi wananchi ndiye mnayechangua serikali mnayoitaka, na sisi kama wanajeshi tunasimamia maamuzi ya wananchi. Lakini ikitokea kwamba wananchi hao hao walioichagua serikali wakaamua kuikataa serikali yao, sisi kama jeshi la wananchi bado tutakuwa upande wa wananchi" mwisho wa kunukuu.
Kwa hiyo wakuu habari ndiyo hiyo. Sina uhakika kuhusu usalama wa taifa, kwa kuwa hao najua wanaingia kwenye hizo nafasi kwa upendeleo na kujuana, kwahiyo wanaweza wasiwe tayari kuwaangusha wale waliowapa hayo maulaji. But kwa upande wa jeshi, ninawahakikishieni kwamba the moment wananchi wanaamua kwa dhati, jeshi litakaa pembeni kulinda maandamano yao. Jeshi ni la wananchi na lipo kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi.
Ninajua na ninaamini kwamba jeshi litaua kadhaa siku za kwanza kabla ya jeshi kuintervene na kuamua kulinda na kusimamia maamuzi ya wananchi. Hata kama generali Mwamunyange ni swahiba mkubwa wa Kikwete, naamini atapingwa vikali na wenzake ndani ya jeshi iwapo ataamua kuwageuka wananchi.
Kwa upande mwingine fuatilieni matokeo ya kura za uchaguzi ya mwaka jana. Kambi nyingi za jeshi zilimpa kura Slaa. Kikwete alipata kura chache sana kutoka kwa wanajeshi. Kazi kwenu kufanya maamuzi.
<Crap.Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Ben naomba nikutunzie haya maneno kwenye bold nitakukumbusha siku za mbeleni.Tuwe tayari muda wowote,tujiandae.Hakuna wa kutuzuia....nitakuwa msatari wa mbele katika hili.Muda wenyewe hauko mbali
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Na huko hawawezi kufunga! Maskini usalama wa taifaMkubwa hata wakifunga hapa! The same is being discussed in FB, Twitter na blog mbali mbali...its amazing they way people are trying to show their disatisfaction and frustrations.
Mmmh, amazing!! hapo ndipo penye shida tena. Maana kukishakuwa na mgawanyiko kati ya wanajeshi hiyo vita yake haitaisha. Yatakuwa kama ya Ghadaf. Wenzetu wa Tunisia na Misri walipata mafanikio makubwa kwa kuwa jeshi lote liliwaunga mkono wananchi. Lakini sitashangaa kama kweli hao vijana wanampenda JK. Maana kama watu wanatestia mabomu yao kwa raia (cf. Mbagala, gongolamboto) na bado hakuna hata mmoja anayechukuliwa hatua za kisheria, kwanini wasimpende.Mkuu vijana waliomaliza mafunzo ya jeshi huko monduli juzi mwz wa pili huwaambii chochote kuhusu Shimbo na JK, wanawapenda kuliko maelezo, rafiki zangu kabisa nilimaliza nao UDSM na walikuwa wapinzani wakubwa wa serikali ndo walisema maneno hayo baada yakutoka kwenye mafunzo, nahisi kuna kitu wamelishwa, au hulka ya ubinafsi.
WaTanganyika msijiongopeee HAMNA KABISA UJASIRI huo wa kuleta mapinduzi zaidi ya mapinduzi ya kilimo kuita kilimo kwanza.
Mapinduzi yanataka watu thabiti na waliojitolea kutetea maslahi ya wengi kwani lolote linaweza tokea. Nyie wengi ni wanafiki na kwa kuwa nchi mlipewa kwa njia ya barua basi mtasubiri hivyo hivyo mpaka barua nyingine ije.
Poleni sana