Mapinduzi yafanyika klabu ya simba uongozi waondolewa!!!

Mapinduzi yafanyika klabu ya simba uongozi waondolewa!!!

We Makoye Matale LIBOLOO????????!!!!!!!!!!!

Ndiyo Mkuu, naamanisha LIBOLO lililoivuruga Simba ikawa broken inside. Hebu nenda kwenye uzi wa Yanga v Ruvu Shooting, fungua ukurasa wa 4 hadi mwisho utaona post ya Yahoo ya saa 17:35 kuna picha ya LIBOLO na Dear wake wakielekea 'TAIFA GESTI HAUSI'. Kilichoendelea kule unakijua.
 
nafsi zao ndo zinawasuta. mkishangilia yanga mnasema ccm wakati nyie mwenyekiti wenu ni ccm. natamani simba yote isambaratike abakie malikia wa nyuki tu. hahahaaa...!!!. mia
 
Natamani nchi yetu ya Tanzania ingekuwa na wananchi ambao wako proactive kama wanachama wa Simba au Yanga. Wanachama wa club hizi huwa hawasubiri mambo yaharibike wao mapema wakiona mambo yanakwenda ndivyo sivyo wanachukua hatua mapemaaa kwa kuwawajibisha viongozi
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ndiyo Mkuu, naamanisha LIBOLO lililoivuruga Simba ikawa broken inside. Hebu nenda kwenye uzi wa Yanga v Ruvu Shooting, fungua ukurasa wa 4 hadi mwisho utaona post ya Yahoo ya saa 17:35 kuna picha ya LIBOLO na Dear wake wakielekea 'TAIFA GESTI HAUSI'. Kilichoendelea kule unakijua.

Stupid
 
Rage anasema kile ni sawa na kikao cha harusi.Msomali ana dharau huyu
 
Kiuhalisia, Rage sio kiongozi. Yeye anajiona mtawala, mambo yake hayaendi kwasababu kuna tofauti kubwa kati ya yeye(mtawala) na kiongozi. Kuthibitisha hili, hawathamini hata viongozi waliopo chini yake kikatiba. Anaamini yeye ndo kila kitu, yaani yeye ndo simba na ndo mwenye mamlaka ya mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Naunga mkono mapinduzi despite what. Sijawahi, sina na sitakuwa na imani na Rage katika kuiongoza Simba. Ila sikubaliani na wazo la kumkabidhi timu malkini wa nyuki. Maana hiyo sasa inaonekana sisi ni njaa kali. Tunamkabidhi kwa kuwa ana hela?
 
Mhh rage anaumwa nyie mnafanya mapinduzi!hivi nyie wanasimba mngekua wana arsenal sii mngesha uwana wote,kufungwa timu ni sehemu ya mchezo

Ni sehemu ya mchezo ila sio kwa Simba na Yanga mkuu, hizi timu ni janga la soka Tanzania.
 
Rage a.k.a Bundi toka tu kwenye uongozi,kilichofanyika kiwe halali au sio halali still kinaonyesha dalili isiyo nzuri!!
Tayari imejidhihirisha kuwa hutakiwi kuiongoza Simba na kuna dalili kubwa sana umechangia wewe binafsi pamoja na jopo lako la uongozi katika kuizamisha Simba!!
Toka ukapumzike Somalia au ubakie tu bungeni kuitikia "Ndiyoooo" wakati wa kuzifuta hoja zenye mashiko!!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ndugu zangu. TEh! TEh! TEh! TEh! TEh! TEh!. Ahhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Pole sana
 
Daaa nimefurahi sana huyu msomali kufukuzwa.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Yaani Leo hata hiko kikao cha simba nimekipa like juu kwa juu, na nimegawa like kwa watu wote waliokisapoti. Rage nyambafu kwenda tabora kahudumie jimbo, wewe jela ulistahili.
 
habari ambazo zimetapakaa kwa sasa ni kwamba ule mkutano ulioitishwa na wanachama wa simba umekubaliana kuondoa uongozi uliopo madarakani wa mh.adeni rage kutokana na sito fahamu katika timu hiyo kongwe ya soka hapa nchini.timu itakuwa chini ya malikia wa nyuki bi,rahma al kharoos pamoja na hans pope.(picha nyingine iyo inaanza simba).
nyie wanasimba hebu fikirieni mbali kidogo si mungesubiri mei manaake kinakuja kipigo cha bao moja kutoka kwa jeshi la manji hapo munge fanya mapinduzi, haya sasa tayarisheni mkutano mwingine na mutaingia gharama sana halafu msije kusema ahh aden na wengine walikuahawajui.
 
habari ambazo zimetapakaa kwa sasa ni kwamba ule mkutano ulioitishwa na wanachama wa simba umekubaliana kuondoa uongozi uliopo madarakani wa mh.adeni rage kutokana na sito fahamu katika timu hiyo kongwe ya soka hapa nchini.TIMU ITAKUWA CHINI YA MALIKIA WA NYUKI BI,RAHMA AL KHAROOS PAMOJA NA HANS POPE.(PICHA NYINGINE IYO INAANZA SIMBA).[/QUOTE]NYIE WANASIMBA HEBU FIKIRIENI MBALI KIDOGO SI MUNGESUBIRI MEI MANAAKE KINAKUJA KIPIGO CHA BAO MOJA KUTOKA KWA JESHI LA MANJI HAPO MUNGE FANYA MAPINDUZI, HAYA SASA TAYARISHENI MKUTANO MWINGINE NA MUTAINGIA GHARAMA SANA HALAFU MSIJE KUSEMA AHH ADEN NA WENGINE WALIKUAHAWAJUI.
 
hahahahahaha mkuuu muombee japo apone haraka

akipoa atakuja na vifungu mpaka waliokusanyika utawaona wenda wazimu...rage fitina za soka la bongo anaziweza sana lakaini naona msimu huu wamemshika kuanzia swala la kelvin,twitte, mpira pesa wakammalizia, libolo wakachimba kaburina kumdumbukiza sasa naonaànatafutwa wa kumfukia
 
Back
Top Bottom