YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
Duh! Mapinduzi ndani ya mapinduzi? Hiyo imetulia. Lakini bado ninahitaji kujua WHO IS JOHN OKELLO?
Zifuatazo ni ushahidi katika picha - kuna anayebisha ?
View attachment 19126 View attachment 19127
Ingawa mwanzoni Field Marshall John Okelo alitangaza kuwa amemteua Karume kuwa Raisi wa Zanzibar, baada ya kuuonja utamu wa madaraka, aliamua Karume awe Makamu Wake. Hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya Karume kuomba msaada kutoka nje ya Zanzibar aweze kumwondoa Okelo kwani hakuwa na ubavu wala ujasiri wa kufanya hivyo. Kwa mara ya pili na kwa msaada wa Mwalimu, mapinduzi mengine ndani ya mapinduzi yakawezekana baada ya Okelo kuhadaiwa kuja Dar es Salaam. Bila hivyo historia ya Zanzibar ingekuwa nyingine kabisa na wazushi kama huyu Harith Ghassany hawangepata nafasi ya kuandika na kueneza hizi hadithi zao.