Mapinduzi ya Zanzibar na Nyerere

Utafiti wa kitaalamu uliyofanya na wanahistoria bobezi kwenye harakati za siasa za pwani ya Afrika Mashariki wameandika, wametafiti na kuandika sana juu ya Mapinduzi ya Zanzaibar. Hata hivyo kuna nukta kadha wa kadha zinazotatanisha na hazipewi "nguvu" ya akili ya kisomi kwenye kudadavua hoja ya "nani muhusika mkuu" wa mapinduzi yale. Kwa upande mmoja, Mwalimu Nyerere anatajwa sana kuwa ni "mhandisi" wake; na kwa upande mwingine Mwalimu Nyerere anaonekana kama :wakala" wa kufanikisha mapinduzi yenyewe. Kwa utashi wa nani? Na, kwa nini? Haya ni masuala "nyeti" ambayo kwa sehemu kubwa yalishapatiwa majibu kitambo!

Kwa wasomaji makini na wanaofuatilia historia "angavu" ya harakati za siasa za "Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar" wanafahamu kwa nini Mwalimu Nyerere "alimlazimisha" Abeid Karume aingie kwenye "ndoa" iliyoitwa "muungano". Tazama nukta hizi kisha jiulize masuala yenye mchokoo wa kifalsafa na kiutafiti (uchunguzi + mantiki):
  1. Kabla ya mapinduzi, Mv Khaldun (ya Algeria) ilishusha "silaha" Dar es Salaam na iliagwa na Mwalimu Nyerere;
  2. Mara kadha wa kadha "Field Marshal" John Okello alionekana Ikulu ya Dar es Salaam hata kabla ya mapinduzi na baada yake;
  3. Hata Okello alipokosana na Karume alirudishwa Dar es Salaam chini ya "escort" ya POLISI na hata baada yake haikujulikana alipelekwa wapi;
  4. Jina la Tanganyika lilifutwa na nchi ya Tanganyika kuchukua jina la Tanzania Bara huku "Katiba ya Tanganyika" ilifanywa ndio katiba ya muungano;
  5. Mamlaka ya Zanzibar yaliwekwa chini ya "kivuli" cha Tanganyika na kuendeshwa bila ya katiba wakati wote wa Abeid Karume hadi alipouawa na nafasi yake kuchukuliwa na Aboud Jumbe;
  6. Tazama Mwalimu Nyerere alivyomlazimisha Aboud Jumbe kujiuzulu urais wa Zanzibar - tafuta sababu za kina (ilikuwaje na kwa nini?);
  7. Angalia jinsi Mwalimu Nyerere alivyolazimisha kuunganiswa TANU na ASP na kupatikana kwa CCM;
    nimeipenda hii
 
Ghibuu, unapoamua kudanganya na kupotosha historia ya Zanzibar, basi angalau sema uwongo unaokaribiana na ukweli.

Umedanganya kihusu asilimia ya Waislamu Zanzibar kuwa ni asilimia 100% kwa 100%. Kimahesabu maana yake asilimia ya Wakristo ni 0.00% jambo ambalo si kweli!.

Naomba kukumbusha, hao waarabu unaowashabikia na kuwasujudia, nao ni watu wa kuja tuu huko Zanzibar, Sultan Said Said alitoka zake Oman na kuhashia makazi yake Zanzibar katika karne ya 17. Hapo Zanzibar alipakuta kuna wenyewe ambao ni wenyeji wa asili wa Zanzibar, jee unajua aliwafanya nini?. Unakijua kilicho wakuta?. Unajua ni kwa nini hawatajwi popote?.

Hilo na tuliache. Katika karne ya 18 jee unafahamu Zanzibar ndio ilishamiri kwa biashara ya utumwa?. Jee una taarifa watumwa waliopelekwa nchi za India na nchi za Kiarabu wote walitoka soko la Zanzibar?.

Jee unafahamu watumwa waliopelekwa nchi za Marekani na Ulaya walitoka soko la Afrika Magharibi?,

Unajua kilichowapata watumwa walipelekwa Arabuni na bara Hindi?,

Jee unafahamu baada ya kusimamishwa kwa biashara ya utumwa, watumwa wote waliokuwa sokoni na waliopenda kurejeshwa barani Afrika walirejeshwa?.

Watumwa wa soko la Marekani walirejeshwa nchini Liberia na wale wa Ulaya wakarejeshwa nchini Sierra Leone, jee wale wa soko la Zanzibar walirejeshwa wapi?.

Baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa hata Zanzibar, jee wajua kuwa watumwa waliikwisha nunuliwa ili wawe huru, ilibidi wagombolewe kwa wanunuzi kurudishiwa fedha zao?, Jee wajua waliowagomboa ni kina nani na watumwa waliogombolewa walipelekwa wapi hapo Zanzibar?,

Jee wajua eneo lilipokuwepo soko kuu la watumwa Zanzibar enzi hizo leo pana nini?.

Majibu ya maswali hayo yatapunguza uwongo na utakatifu wa Waarabu unaowasujudia na kwa kwa vile ndio babu na bibi zako upande wa kikeni, then hakika wee uu mmoja wao?,
Mkuu.

Hakuna nchi ambayo isikuwa na na biashara hio ya utumwa,unaposema waarabu walifanya utumwa basi pia weusi na weupe wazungu walishiriki,na wanunuaji wote walishiriki,usisukumize mzigo kwa waarabu tu hata mababu zetu walishiriki asilimia mia moja.

kwa sababu waarabu walipokuwa wakitaka watumwa,wakiende katika vijiji,zamani maiak hio kabla ya utawala wa wa kidemocracy na kisiasa,kulika na watawala wa vijiji kama wafalme,hao wafalme wa vijiji mababu zetu walikuwa wakipewa viyoo,au sufuria,wakiwatoa kaka zetu kwa waarabu au wazungu kwa kuwahadaa vitu vidogo.

Mababu zetu hawakufahamu nini mazumuni ya kuwauza vijana hao wazee wetu,na walichukulia kama ni suala la kiwaida,miaka nenda nenda miaka rudi mambo yakabadilika,wenzetu walisoma waliweza kuturubuni,kwanza naweza kusema utumwa hasa ulibebeba sana katika north africa kulika huku east africa,tukubali kila kitu kilikuwa na hasara na faida. lakini naweza kusema faida tulio ipata kwa waarabu japokuwa walitufanya utumwa waliweza kuleta mabadiliko makubwa katika dunia hii,mana kama sio wao ingelikwa Uwengereza hakuna mtu mweusi,uwarabuni hakuna mtu mweusi,marekani hakuna mtu mweusi,ingefika time tungeliuwana baina ya waarabu,weuzi weupe wazungu,haya yote ilikuwa ni kama game tu ,kila jamabo lilienda kwa wakati.

Lakini suala hili la nyerere kuimaliza zanzibar halikuwa na kiutumwa bali lilikuwa la kisiasa,unajua zanzibar ilipata uhuru wake 1963 kuwa mwanachama wa UN ? Unajua kuwa mwanachama wa UN sheria zake ? Soma nyakati mtu wangu,moja ya sheria zao ni humaina right,humain afair. Na ndio ilikubaliwa kuwa mwanachama wa UN.

Tanganyika haikuwa kuwa mwanachama wa UN,na kitu ambacho kinachotumiwa na Tanzania /Tanganyika katika UN ,ni kiti cha zanzibar.

Nyerere roho ya uchoyo ndio iliyomtoka zanzibar TU.
 
Hizo ndio sababu za Nyerere kutaka kupewa utakatifu! kazi kubwa aliyoifanya ni kutaka kuuobdoa uIslam Tangamyika na Zanzibar, lakini kwa hilo hakufaulu. uIslam upo, utakuwepo na ndio dini ya mwanzo na ya mwisho katika dunia hii.

huu sasa ni upimbi! na ukosefu wa hoja
 
Ukisoma kitabu cha KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU cha mwandishi Harith Ghassany unakaribia kulia ukijua kwamba kumbe Mapinduzi ya Zanzibar si kama tunavyoyajuwa.Kwa upande mwengine kumbe uongo ni kitu kibaya sana kinacholeta maangamizi katika jamii.
Mwandishi anastahiki sifa kubwa ya kuwa mtafiti aliyebobea.Amehojiana na watu muhimu walioshiriki kuipindua serikali ya Zanzibar ambao wengi wala si wenye kusikika.

Ukisoma hiki kitabu ushahidi uko wazi kuwa mapinduzi yale yalikuwa ya chuki za kikabila na kidini na hayakufanywa na wazanzibari wenyewe.Kumbe Nyerere ndiye aliyesuka na kugharimia mapinduzi yale akikitumia chama cha TANU.
Viongozi wa mapinduzi wao wenyewe hawakujua kipi hasa kilikuwa kikiwaongoza kufanya mapinduzi,ni kumuondoa mwarabu mwenye rangi nyeupe na kumuweka mwafrika wa rangi nyeusi au ni kuwaweka watu wa bara waiongoze Zanzibar.Kauli zao na matendo ni vyenye kujichanganya.

Waliokuwa wakitawala Zanzibar walikuwa ni waislamu lakini hawakutekeleza uislamu,hili ni moja ya kosa lao kubwa.Ubwanyenye na ujinga wa kiutawala ulitoa fursa kwa maadui zao kuwapindua kirahisi.Hata hivyo nguvu ya adui aliyekuwa ndani yao na nje wasingekuwa na uwezo wa kuhimili tena.
Katika mkanganyiko huu walioathirika zaidi bila kosa ni wazanzibari waliotafsiriwa na viongozi wa mapinduzi kwamba wana asili ya kiarabu,wengi wao wakiwa wala hawako kwenye utawala.

Nyerere alipata kusema kuwa udini na ubaguzi ni kama ukoma lakini kwa hakika alitumia ukabila na ubaguzi kujenga udini.
Nyerere kwa Afrika anaweza kuitwa baba wa Mapinduzi.Yeye aliweza kuongoza Mapinduzi ya Zanzibar,akawapinduwa waislamu ndani ya TANU na hupati taabu kuona kwamba yeye alishiriki kumuua Karume kupitia kamanda wake Ali Mahfudh.Nyerere alikuwa na damu ya kimapinduzi tu lakini si kwamba mapinduzi aliyoyafanya yalikuwa yana umuhimu.
Kwa wakristo Nyerere anaweza kuonekana ni shujaa lakini kwa waislamu ni mtu mbaya mno.

karume alikuwa msafi kiasi gani? Yawezekana alistahili alichokipata maana wazanzibar wengi sana waliokuwa kwenye vuguvugu za kimageuzi zanzibar walipotezwa vibaya. Bora Nyerere aliwaweka 'wabaya' wake kizuizini ama kuwapiga exile
 
Ukisoma kitabu cha KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU cha mwandishi Harith Ghassany unakaribia kulia ukijua kwamba kumbe Mapinduzi ya Zanzibar si kama tunavyoyajuwa.Kwa upande mwengine kumbe uongo ni kitu kibaya sana kinacholeta maangamizi katika jamii.
Mwandishi anastahiki sifa kubwa ya kuwa mtafiti aliyebobea.Amehojiana na watu muhimu walioshiriki kuipindua serikali ya Zanzibar ambao wengi wala si wenye kusikika.

Ukisoma hiki kitabu ushahidi uko wazi kuwa mapinduzi yale yalikuwa ya chuki za kikabila na kidini na hayakufanywa na wazanzibari wenyewe.Kumbe Nyerere ndiye aliyesuka na kugharimia mapinduzi yale akikitumia chama cha TANU.
Viongozi wa mapinduzi wao wenyewe hawakujua kipi hasa kilikuwa kikiwaongoza kufanya mapinduzi,ni kumuondoa mwarabu mwenye rangi nyeupe na kumuweka mwafrika wa rangi nyeusi au ni kuwaweka watu wa bara waiongoze Zanzibar.Kauli zao na matendo ni vyenye kujichanganya.

Waliokuwa wakitawala Zanzibar walikuwa ni waislamu lakini hawakutekeleza uislamu,hili ni moja ya kosa lao kubwa.Ubwanyenye na ujinga wa kiutawala ulitoa fursa kwa maadui zao kuwapindua kirahisi.Hata hivyo nguvu ya adui aliyekuwa ndani yao na nje wasingekuwa na uwezo wa kuhimili tena.
Katika mkanganyiko huu walioathirika zaidi bila kosa ni wazanzibari waliotafsiriwa na viongozi wa mapinduzi kwamba wana asili ya kiarabu,wengi wao wakiwa wala hawako kwenye utawala.

Nyerere alipata kusema kuwa udini na ubaguzi ni kama ukoma lakini kwa hakika alitumia ukabila na ubaguzi kujenga udini.
Nyerere kwa Afrika anaweza kuitwa baba wa Mapinduzi.Yeye aliweza kuongoza Mapinduzi ya Zanzibar,akawapinduwa waislamu ndani ya TANU na hupati taabu kuona kwamba yeye alishiriki kumuua Karume kupitia kamanda wake Ali Mahfudh.Nyerere alikuwa na damu ya kimapinduzi tu lakini si kwamba mapinduzi aliyoyafanya yalikuwa yana umuhimu.
Kwa wakristo Nyerere anaweza kuonekana ni shujaa lakini kwa waislamu ni mtu mbaya mno.

Nyerere amelipiza walichofanya waarabu kutok Oman Miaka 150 nyuma kwa kuwanyonga masista aw Kikatoliki waliokuwa wameshaijenga Zanzibar Kabla . Asante Nyerere
 
Nipe history,nipe ushahidi usiandikie mate..

Lille mnaliita Arab Fort, au Ngome Kongwe, alilijenga Nani? Je weye wajua kuwa Laitwa Portuguese Fort? Enzi hiz o? Nenda Kwenye web ya catholic au wasiliana nami nikupe histori ya zenji, wengi wenu mlikuwa bado Congo Kabla hamjaletwa watumwa
 
Kwa taarifa yako wakati huo .

hen Fort Jesus, Portugal's primary base in Mombasa, fell to Oman in 1698, the Portuguese gave up their dominant position in Indian Ocean commerce. Shortly after capturing Fort Jesus, the Omanis gained control of Zanzibar, ending the nearly two-century Portuguese presence there. To consolidate their position, they quickly built a fort on the island's western tip, finishing it in 1701. From that time on, Oman was an Indian Ocean power to be reckoned with.

Omani interest in East Africa assumed a new dimension with the Busaidi family's accession to power in Oman in 1749, and it increased substantially during the 50-year reign of Sultan Sa'id bin Sultan, which began in 1806. After consolidating his position in Oman, Sa'id turned his interest toward East Africa. He paid his first visit to Zanzibar in 1828, and with each successive trip his stay on the island lengthened.

Dr. Sheriff succinctly summed up Sa'id bin Sultan's interest in the area. "Kuwait and the other states of the Gulf came only as traders," he said. "They were rather small city-states, rather weak, with no ambition to develop states as such. Oman was different. It was a kingdom, with a large hinterland. Sa'id would not have come only for good weather; he came for trade."
As the head of a state whose fortunes were built on commerce, the sultan appreciated the economic potential of the clove trade. He quickly took steps to cultivate clove trees in Zanzibar, adding to the wealth already being obtained from the trade in ivory and slaves from the mainland. In fact, he ordered his subjects to plant clove trees or face confiscation of their property. By 1850, Zanzibar and Pemba were the world's biggest clove producers. Cloves became even more important economically as Britain pressured the sultan to end the slave trade and slavery itself throughout the 19th century.
 
Soma website ya Kanisa katoliki Zanzibar
Salaam aleikum

Walio andika hao ni vibaraka wenu walitoka tanganyika kuja kuivuruga zanzibar , eti nisome katoliki zanzibar haha unanichekesha kweli,, kazi ubaguzi tu nyinyi watanganyika muna akili zile zile za Kinyerere. Akili za samaki, sina muda wa kusoma habari za kikatoliki nipe habari inayo husu taifa langu.
 
Utafiti wa kitaalamu uliyofanya na wanahistoria bobezi kwenye harakati za siasa za pwani ya Afrika Mashariki wameandika, wametafiti na kuandika sana juu ya Mapinduzi ya Zanzaibar. Hata hivyo kuna nukta kadha wa kadha zinazotatanisha na hazipewi "nguvu" ya akili ya kisomi kwenye kudadavua hoja ya "nani muhusika mkuu" wa mapinduzi yale. Kwa upande mmoja, Mwalimu Nyerere anatajwa sana kuwa ni "mhandisi" wake; na kwa upande mwingine Mwalimu Nyerere anaonekana kama :wakala" wa kufanikisha mapinduzi yenyewe. Kwa utashi wa nani? Na, kwa nini? Haya ni masuala "nyeti" ambayo kwa sehemu kubwa yalishapatiwa majibu kitambo!

Kwa wasomaji makini na wanaofuatilia historia "angavu" ya harakati za siasa za "Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar" wanafahamu kwa nini Mwalimu Nyerere "alimlazimisha" Abeid Karume aingie kwenye "ndoa" iliyoitwa "muungano". Tazama nukta hizi kisha jiulize masuala yenye mchokoo wa kifalsafa na kiutafiti (uchunguzi + mantiki):
  1. Kabla ya mapinduzi, Mv Khaldun (ya Algeria) ilishusha "silaha" Dar es Salaam na iliagwa na Mwalimu Nyerere;
  2. Mara kadha wa kadha "Field Marshal" John Okello alionekana Ikulu ya Dar es Salaam hata kabla ya mapinduzi na baada yake;
  3. Hata Okello alipokosana na Karume alirudishwa Dar es Salaam chini ya "escort" ya POLISI na hata baada yake haikujulikana alipelekwa wapi;
  4. Jina la Tanganyika lilifutwa na nchi ya Tanganyika kuchukua jina la Tanzania Bara huku "Katiba ya Tanganyika" ilifanywa ndio katiba ya muungano;
  5. Mamlaka ya Zanzibar yaliwekwa chini ya "kivuli" cha Tanganyika na kuendeshwa bila ya katiba wakati wote wa Abeid Karume hadi alipouawa na nafasi yake kuchukuliwa na Aboud Jumbe;
  6. Tazama Mwalimu Nyerere alivyomlazimisha Aboud Jumbe kujiuzulu urais wa Zanzibar - tafuta sababu za kina (ilikuwaje na kwa nini?);
  7. Angalia jinsi Mwalimu Nyerere alivyolazimisha kuunganiswa TANU na ASP na kupatikana kwa CCM;
  8. Tazama Mwalimu alivyokuwa "mkali" pale G55 walivyodai "Hoja ya Tanganyika" na hatimaye kulimaliza kisiasa kundi lile; na
  9. Angali (kwa makini) muundo wa uongozi wa kisiasa (na kijeshi) unavyopangwa (kwa stratejia) juu ya nafasi ya Zanzaibar kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Ukitumia "akili" isiyokuwa na "uzezeta" wala "uzimbezimbe" unaweza kupat "mawingu" ya kwa nini Mwalimu Nyerere alikuwa nyuma ya "mapinduzi" ya Zanzibar na kwa nini aliamua kuchukua "nafsi" hiyo! Kama humjui John Okello, tazama picha iliyoambatanishwa na makala haya na ujaribu kutafakari alikuwa nani (na jiulize nani alimlepeleka Zanzibar na kwa nini). Kwa ujumla, Mwalimu Nyerere "alificha" mengi nyuma ya mapinduzi ya Zanzibar na hata "muungano" wenyewe; na siri hizo ndizo zilizokuwa zinamfanya Mwalimu Nyerere kuwa "mkali" na hata kutotamani wananchi wa Tanganyika na Zanzibar kuhoji juu yake! Je, "siri" inaweza kuwa siri hadi mwisho wa "dahari"..tusubiri na tuone kama Tanganyika ya "wadanganyika" na Zanzibar ya "wazanzibara" hawataanika "yaliyofichwa" na kuhifadhiwa na Marehemu Thabit Kombo Jecha na hatimaye kumponza Maalimu Seif Sharif Hamad hadi kufukuzwa CCM na wenzake akina Shaaban Mloo, nk....MUDA UTATUPA MAJIBU!

yani kama nlkuwa nakojoa ww umechomoa, Ebwana endelea kutupa Uhondo yani mle mle baba tupe tupe hapa ndipo penyewe kunapowasumbua watu Vichwa mpaka Leo wapo Viongozi Hawajui SIRi ya Mapinduzi zaidi ya Kusema Nyerere
 
Watanganyika mambo haya hawataki au niseme hawapendi kuyasikia,wao wapo wapo tu wala hawataki kujua tanganyika yao inaelekea wapi.
 
nurdin Moh'd, je, huyu Mwandishi Harith Ghassany unamfahamu? Jina lake halisi ni nani? Ni mzaliwa wa wapi? Ana umri gani? Hivi sasa anaishi wapi? Ujumbe wake umeelekezwa kwa watu wa aina gani? Duniani kuna watu na watu...wapo watakaodai wamefanya kazi kubwa kumbe maisha yao yote wanahangaika kusukuma ukuta ambao hata hivyo hausogei hata chembe. Hadithi za Alfu Lela Ulela zinasisimua, zinafurahisha na hata kusikitisha lakini mwisho wake ni kama ndoto tu, unapoamka unajikuta pale pale. Akina Harith Ghassany wapo wengi, wanatumbua kwa kuuza vitabu, kwa kuteka nyoyo za wapenzi, kwa kuwaamsha mori wafuasi, lakini mwisho wa siku malengo yao hayafikiwi wala hawafanikiwi, kwa nini lakini? Penye ukweli, uwongo haudumu hata ukipakwa rangi...hapo hamna ujanja!
 
Last edited by a moderator:

Samaki utamjua tu hata atiwe kwenye frizer anatoa harufu,,, duh kazi kweli kwelii
 
Watanganyika mambo haya hawataki au niseme hawapendi kuyasikia,wao wapo wapo tu wala hawataki kujua tanganyika yao inaelekea wapi.

Na wala sijui kama wanajua inatoka wapi hii tanganyika yao,wao wanachokijua ni wizi na pombe tu
 
Shukurani ya Punda ni Mateke. Asingekuwa Nyerere leo hii nyinyi Wazanzibari mngekuwa mnatawali na MKIRISTU tena MGANDA JOHN OKELLO.

Nyerere ndiye alimfanyia HILA kumunyang'anya Zanzibar yake aliyoipindua in his own hand, wakati Karume Snr akiwa amelala kitandani usingizi wa PONO.
 
Back
Top Bottom