Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,022
- 46,846
Na nini👔Naona upo serious.
Na nini👔Naona upo serious.
Unahangaika na mabarua 😂😂Na nini👔
Nilitaka kujua kama aliyetajwa na jamaa hapo juu humo yumoUnahangaika na mabarua 😂😂
Hii nchi katika ishu ya vyeo ni mambo matatu
1. Wewe uwe mkubwa
2. Wewe uwe mtoto wa mkubwa
3. Wewe uwe unajuana na wakubwa.
Zaidi ya hapo utahangaika sana 😂😂
😂😂Nilitaka kujua kama aliyetajwa na jamaa hapo juu humo yumo
InternetMnaikumbuka hii mada ngumu nilipoileta wengine waliogopa hata kuijadili. Vipi mmepata kaujasiri mtoe maoni yenu au tayari tumepata majibu?
Nadhani bado kuna umuhimu wa kuijadili hii mada kiutu uzima bila mihemko wala ushabiki wa kiitikadi.
Nilipokuwa chuo miaka fulani ya nyuma niliwahi kuandika paper nikasema kuna siku kuna baadhi ya mitandao ya kijamii itakuwa na nguvu za kiuchumi na kiushawishi kuliko baadhi ya nchi. Enzi hizo tulikuwa bado tunatumia mitandao kuchat tu kwenye "messengers", haikuwa na hili wala lile.Internet
Nadhani umetoka nje ya mada. Point nzuri ila hazitupeleki katika kupata majibu ya mada hii.Kutokana na tamaduni za kiafrika siyo rahisi kiongozi kutoka kwa kupitia mapinduzi ya kiraia. Mataifa mengi ambayo yalifanya mapinduzi kule Ulaya, ilitokana na tabaka la kati (The Middle-Class) ambao wengi wao walikuwa ni wafanyabiashara (The Merchant Class) kutokuridhika na tawala za kiimla.
Afrika haina tabaka la kati lenye nguvu kama ilivyokuwa Ulaya au Asia. Tabaka la kati huku kwetu ni watawala na waajiriwa wa dola (Ruling Elites and Bureuacrats). Ndani ya kundi hili kuna wanajeshi, wanasiasa na matajiri wakubwa wanaokula na serikali. Hili kundi ndiyo huwa vinara wa mapinduzi ambayo hufanyika bila raia wengi kushiriki, aidha kijeshi (Coups) au kiuuaji (Assassinations).
Mwaka 2021 yalifanyika mapinduzi makubwa sana Tanzania na wengi hawakung'amua. Kinachotokea kipindi hiki ndiyo matokeo ya yale mapinduzi. Hakuna mapinduzi ya amani. Kila mapinduzi hufuatiwa na utawala mpya kujisimika na kujichimbia chini (Consolidation of Power), jambo ambalo lazima liendane na matumizi makubwa ya mabavu, mauaji na utekaji.
Watanganyika wengi mwaka 2021, walitaka CHA UVUNGUNI lakini HAWAKO TAYARI KUINAMA.
Nadhani umetoka nje ya mada. Point nzuri ila hazitupeleki katika kupata majibu ya mada hii.
Asante sana kwa mchango wako MALCOM LUMUMBANiko ndani ya mada. Labda tu uamue kutonielewa kwa maksudi.
Kila kanuni ya mapinduzi ya kijeshi uliyoitaja kwenye mada yako ilitokea 2021.
Uzuri ni kwamba umekubali kabisa kwamba mbinu za kijeshi zimabadilika hivyo Non-Kinetic Methods ndizo hutumika. Hata hapa Tanzania mapinduzi yalifanyika hivyohivyo. Vyombo vya habari vilishikiliwa na jeshi na akatangazwa Raisi mpya huku watu wa ndani ya vyombo vya dola wakishikwa na butwaa kwamba nini kimetokea.