Mapigano yalipuka kati ya Cambodia na Thailand

Mapigano yalipuka kati ya Cambodia na Thailand

Cambodia vs Thailand Military Comparison (2025)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni

Idadi ya Vifaru
Thailand: 635
Cambodia: 644

Ndege
Thailand: 493 (ikiwa na 28 F-16s, 11 Gripen jets)
Cambodia: 25 (10 za usafiri, hakuna za kivita)

Vifaru (Magari ya Kivita)
Thailand: 16,935
Cambodia: Data haipatikani

Idadi ya Wanajeshi
Thailand
: 606,850 (360,850 jeshi la nchi kavu)
Cambodia: 231,000 (221,000 jeshi la nchi kavu)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni
Cambodia hawana hata chopper huu ni uongo,,,we jamaa itakua umeamua kua upande wa kina tony Jah
 
Cambodia vs Thailand Military Comparison (2025)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni

Idadi ya Vifaru
Thailand: 635
Cambodia: 644

Ndege
Thailand: 493 (ikiwa na 28 F-16s, 11 Gripen jets)
Cambodia: 25 (10 za usafiri, hakuna za kivita)

Vifaru (Magari ya Kivita)
Thailand: 16,935
Cambodia: Data haipatikani

Idadi ya Wanajeshi
Thailand
: 606,850 (360,850 jeshi la nchi kavu)
Cambodia: 231,000 (221,000 jeshi la nchi kavu)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni
Kwamba Cambodia inazidiwa uchumi hata na Burundi yenye GDP ya Dola bilion 2
 
Hao viongozi wakikosana basi wapigane wenyewe ,sio kushawishi wengine ..Kuna kazi hapo niliikataa ya kupambana na watu kisa hata ukijui ,eti uzalendo ...Mambo ya vita ni ujinga ,kama kila mtu ana nchi yake bora Kupigana wenyewe kuliko vita vya kuingilia nchi nyingine.

Viongozi wanaweza kuondoka hapo kwenda mafichoni ,nyie na gwanda zenu mkapigana hapo ... Mpaka siku nisikie viongozi wanapigana na wako mstari wa mbele kama Sinwar ndio nitaona vita ya kizalendo
 
jeshi ni kazi ya kitapeli sana --- maana wanasiasa ndo watunga sera wakubwa
 
Duh, naona wameichoka amani sasa.
We trade when there is a war, biashara Pataya inaweza kuwa ngumu..

ndani ya Rostov-Russia.
Daa! Umenikumbusha mbali sana
Nimezitembelea hizo nchi mbili miaka ya 80
Nilianza na Bangkok nikazunguka sana mpaka Chiang Mai na Pattaya na sehemu zingine nyingi
Ila nienda pia Burma kumuenzi mzee huko

Dunia hii ni tamu kama kuna amani utastarehe sana
 
Cambodia vs Thailand Military Comparison (2025)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni

Idadi ya Vifaru
Thailand: 635
Cambodia: 644

Ndege
Thailand: 493 (ikiwa na 28 F-16s, 11 Gripen jets)
Cambodia: 25 (10 za usafiri, hakuna za kivita)

Vifaru (Magari ya Kivita)
Thailand: 16,935
Cambodia: Data haipatikani

Idadi ya Wanajeshi
Thailand
: 606,850 (360,850 jeshi la nchi kavu)
Cambodia: 231,000 (221,000 jeshi la nchi kavu)

Bajeti ya Jeshi
Thailand: $5.89 bilioni
Cambodia: $860 milioni
Thailand atashinda
 
Nawewe unaamini kuna nchi Haina ndege vita? Ikiwa sisi majinga tunazo pale Morogoro mwanaza na dar sembuse Cambodia?
 
Back
Top Bottom