Mapigano yalipuka kati ya Cambodia na Thailand

Mapigano yalipuka kati ya Cambodia na Thailand

Nani husema!? Mbona una generalize uko ni kujishtukia shekhe
Kutokea kwa vita husababishwa na sababu mbali mbali jielimishe kwanza
Waelimishe wenzio kabla ya kunielimisha mtumishi
 
Daa! Umenikumbusha mbali sana
Nimezitembelea hizo nchi mbili miaka ya 80
Nilianza na Bangkok nikazunguka sana mpaka Chiang Mai na Pattaya na sehemu zingine nyingi
Ila nienda pia Burma kumuenzi mzee huko

Dunia hii ni tamu kama kuna amani utastarehe sana
Mkuu hapo Pattaya hapo maelezo hayatoshi hayo
 
Back
Top Bottom