Mapigano ya bruce lee

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,412
7,966
Kwa wadau wanaifahamu vyema haya mambo,nauliza kule utube,naona kuna klipu za video zikionesha mapigano kadhaa ya bruce lee na wapiganaji wa kick boxer na maboxers wengine,hivi hizo ni video za kweli au ni kiini macho tu?
 
Nasikia Bruce lee alikua anajua kweli ngumi na Kuna baadhi ya mapigano alikua anapigana kweli,

'Kun Kun Kun kun' in Haji manara voice
 
Hivi Kuna actors wa movie za mapigano hawajui kupigana in real life??
Ndiyo wapo... Wengi Tuu naanza na Dwayne Johnson (The rock) mobie zake nyingi anatumia stunt double, Ben afflick, Aqua man, The flash na wengine wengi
 
Kwa wadau wanaifahamu vyema haya mambo,nauliza kule utube,naona kuna klipu za video zikionesha mapigano kadhaa ya bruce lee na wapiganaji wa kick boxer na maboxers wengine,hivi hizo ni video za kweli au ni kiini macho tu?
Licha ya kuwa Ni actor lakini Bruce Lee alikuwa vizuri kwenye martial arts, hasa Kung Fu, Karate, kick boxing, n.k

Lakini yeye ndiye mwanzilishi wa martial art aina ya Jeet Kune Do.
 
Ndiyo wapo... Wengi Tuu naanza na Dwayne Johnson (The rock) mobie zake nyingi anatumia stunt double, Ben afflick, Aqua man, The flash na wengine wengi
Wanaojua kupigana in real life wanaonekana tu mkuu.

Akina tony jaa,max zhang,donnie yenn,akina wuu jing(the wolf warrior 1&2)hawa wengi ni watu hatari katika maisha ya kawwidaaa
 
Back
Top Bottom