Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Ukirazimisha kichwa chako kuwaza upumbavu ipo siku utakuwa mpumbavu kweli.
Hivi mwana siasa umwambie mambo ya imani mbele ya masilai yake ana muda na wewe ?
Mbona jiwe kila siku anawapiga lisasi, kuwateka na kuwaweka gerezani wale wote wanao mpinga wakati ni imani moja?
Au ww mbona umejificha nyuma ya ID feki unacho ogopa ninini wakati nchi inaongozwa na mgaratia mwenzio?

Halafu hiyo miarabu ndio iliwaletea hiyo dini, yenyewe kwao hakujatulia kutwa mabomu tu, ukanda wote uarabuni ni chuki kwa kwenda mbele.
 
Kwenye huu mziki wa uturuki na syria, namuona US kwa mbaaali anajiandaa kucheza staili moja na Mturiki.
Ngoja tuone.

Vita ya Syria inaendeshwa kimkakati sana na US.
Kuna mambo yanayoendelea pale ukijiuliza hata maswali mia hupati jibu hata moja.

Utaona mgogoro wa muingiliao wa majeshi ya Russia kule Deir ez zur kabla haujaisha wanaanza kuwavuruga tena humu idlib, yani vita haina mbele wala nyuma.
Urusi wanachezewa mchezo mchafu mbaka wakija kushtuka wako hoi kiuchumi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye huu mziki wa uturuki na syria, namuona US kwa mbaaali anajiandaa kucheza staili moja na Mturiki.
Ngoja tuone.

Vita ya Syria inaendeshwa kimkakati sana na US.
Kuna mambo yanayoendelea pale ukijiuliza hata maswali mia hupati jibu hata moja.

Utaona mgogoro wa muingiliao wa majeshi ya Russia kule Deir ez zur kabla haujaisha wanaanza kuwavuruga tena humu idlib, yani vita haina mbele wala nyuma.
Urusi wanachezewa mchezo mchafu mbaka wakija kushtuka wako hoi kiuchumi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mchezo RUSSIA Anaujua Anavyoucheza Zaidi Ya Mwengne yeyote yule

RUSSIA Kaanza Kuingia Kumsapoti Assad Toka Lini Nampaka sasa kuna athari hasi gani kwake ?!,

IDLIB Itakombolewa kama zilovyokombolewa sehemu nyengine

Kuhusu suala lakusapoti ASSAD kama zinaweza kuiangusha RUSSIA Kiuchumi Hili Liondowe Kabsa Akilini MKUU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki ajaanza leo kutoa maneno yake ya taarabu,kabla hata ya jeshi la syria halijaingia kwenye jimbo la Idlib wao walivitisha sana vikosi vya Assad kuwa wakipeleka jeshi kwenye Jimbo la Idlib basi watavipiga vikosi vya Assad.

mpaka sasa ivi ilo jimbo la Idlib limebaki nusu yeye ndo anakuja kukumbuka kuwa kuna jamaa zake.yeye anapiga taarabu mwenzie Assad anatupa tu mabomu kwenye mkoa wa Idlib.na kila baada ya lisaa vikosi vya Assad vinazidi kusonga tu mbele hii inaonyesha hata hao waasi wenyewe washasambaratika awana tena nguvu ya kumzuiya Assad.

Waturuki wanayaogopa sana majeshi ya Assad maana wanajua wapo freshi sana kwenye Vita ya chini.Waturuki walivamia maeneo ya Wakurdi na wakasema watachukua maeneo yote waliyopo wakurdi,wakurdi walipoona wamekosa msaada wakaenda kumuomba Assad apeleke jeshi kwenye maeneo yao.Assad akapeleka jeshi na ndo ukawa mwisho wa vitisho vya waturuki kwa Wakurdi

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Kule Syria ya idlib Kuna maeneo uturuki alikuwa anapeleka majeshi na kuweka observation post kill mara Syria akikaribia kuyateka,
Syria wanachofanya,wanazikwepa zile post then wanazizunguka,
Saa leo Endorgan katoa vitisho kwamba Syria iondoe majeshi karibu na military post zake ama wao uturuki watawaondoa,
Syria Leo asubuhi wakateka maeneo zaidi na kuzingira post ingine ya majeshi ya uturuki.
Mpaka sasa post Kama sita zimezungukwa na hivyo wale Askari Ni Kama wako hostage tu,
Endorgan akabadili vitisho,Anaipa Syria mpaka mwisho wa mwezi wa pili awe kaondoa wanajeshi wake karibu na observation post Za jeshi la uturuki
 
Back
Top Bottom