byb sac
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 910
- 386
inamaana ni wanawake tu wenye tabia hiyo...ni wanaume wangapi wanakutwa na mashemeji zao?azen kujizuia nyie ndo wengine wafate.toa boriti kwako ndo ufate kibazi cha mwezako.mkifanya nyinyi bahati mbaya ila wadada inakera .....TUBADILIKE WOTE SIO JINSIA MOJA..