...anamaanisha ya nguva...Mapezi ya samaki
Kwa sababu sie tulishazoea kumegewa...so tumejifunza mbinu mpya ya kuwaonjesha na nyie machungu
Tunamaluzana tu na rafiki zenu...mkishtukia nasisitiza mtuache
Kwa nini uwalaumu wanawake pekee wakati huyo rafiki yako anayekuchukulia ni mwanaume..?? Au huyo rafiki yako ni mwanamke..?siku hizi mapenzi umekuwa mchezo mbaya sana inatokea umempenda msichana alafu unakuta anafanya mahusiano la rafiki yako kabisa hivi mwanawake wa siku nashindwa kuelewa sijui wanamatatizo gani kwasababu vitendo wanavyo fanya si vizuri kabisa .je tufanyaje kuzuia tatizo hili maana linakera sana
JK alisema tupo zaidi ya 44MHivi tuko wangapi?
JK alisema tupo zaidi ya 44M
Mbona wanaume mnamega rafiki zetu au hiyo imehalalishwa?
Yaani one network kama Airtel.... na si unakumbuka ile 48% ya wanaume wanalea watoto si wao..???? Au umejisahaulisha..???Kwa hiyo tunashare??
jibu swali,kisha fuata maelekezo @Mleta uziMapezi ya sato au???
Jikague kwanza ndo ulalamike unaibiwa...
jibu swali,kisha fuata maelekezo @Mleta uzi