mm n kijana wa miaka 24 mwezi wa nane nilipata msichana wa marangu nikampenda na yeye anadai ananipenda baada ya miez mitatu ikawa hvi....siku ya chrismac mida ya saa nane nilimtafuta kwa cm yake akawa hapatikani kufika saa3 usiku nikampigia dda yake kasema nimetuma dukan maramoja alafu sim yake kaibiwa badae kidogo kanitumia sms kwa number nyngne kaniambia line yake imejilock na yy huko mwnge aliagizwa na dada yake wao wanaishi bunju after 2 wks nikajaribu kupga ile number kapokea mwanaume wakat alidai ni ya wifi yake so mm nikampotezea nikajua wamekula hapa akalialia badae nikamwambia bas yameisha sasa juz asbh kaniambia anaenda kikao cha sendoff ambacho kilikuwa kinafanyika saa9 yy katoka saa4 kutoka bunju kwnda manzese mida ya saa7 nikampigia cm ikaonekana yuko kama bar maana kulikuwa na kelele sana saa8 akazma sm mpaka saa kumi na mbili nakuja kumpigia ananiambia yuko kwa gari anarud nyumbani bunju nikamwambia y umenicheat kamind sana nikamwambia ww bas bhana analalamika et y nmempotezea tme en n mtu wa kuniomba hela sna mara kusuka leo mafuta siku nyngne na ham na chps mm nmekuwa nikimpa SASA NAOMBA USHAURI WENU NIMUACHA AU NIFANYE NINI MAANA NAMONEA IMANI SANA.