Mapenzi yapo uswazi

Mapenzi yapo uswazi

Hao mademu wenu wa uswazi kutwa kwenda kuuza nyago ushuani.. Nenda leo pale Jangwani utavikuta vimejazana vinawinda watoto wa ushuani teh teh..

Huko Instagram ndio usiseme kazi yao kubwa kuwashabikia watoto wa ushuani kama akina wema et al.. watoto wa uswazi bwana


Kama umepanick flani hivii....!
 
Habariiiiiiii zenu bhana?
Unataka kujua mapenzi ya kweli na matamu yalipo? Njoo uswazi,Mfano huku kwetu Tandale Kwa Mtogole jamani utapendwa weeee mpaka utaumwa
#Huku watu wanajua kujituma wawapo sita kwa sita sio kama wa uko ushuani
#ukiitaji game mda wowote unapewa sio kama wa uko mara Oooh mie nimechoka subiria wikiend brabraa nyiiiingi
#Alafu mademu wa huku hawana garama sana kama wa uko! mara baby njaa inauma ila nataka nikale mliman city au serena hotel,Oooh baby fashion mpya ya nguo imeingia kama aliyovaa rihanna,amber rose nk
Aujachelewa epuka mastress njoo Uswazi upumzishe moyo
*ONYO:ukitongoza usiwe unajiproud

Mechi za uswazi hazina mbwembwe pakumpeleka unachagua mwenyewe ilimradi sehem yenyestara kwa Lugha nyepesi inaitwa Kambi popote...nakm utakuwa unamtupia chochote km buku mbili hivi daaah....Utakuta kutwa nzima mtu yuko anaplan namna yakukufurahisha kwenye mechi wacha kabisa sasa zakishua Kwanza anakuchagulia pakwenda kupiga nae show pia hawanaga uwezo wakuhimili mechi...Pamoja name vituko vya uswazi lkn Burdani ipo
 
Mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama,yeye na swaga zake tu!
Akija vibaya atachunwa buzi weee mpaka aombe poooo
Huku mzee mzima kesha tonywa kwamba kuna boya kajilengesha ngoja tumuonyeshe jiji then deal agreed at the end deal done unakula za uso na ushua wako

Hao watoto uswaz ukitaka mechi tena bila gharama unaenda na ndinga hata ya kuazima full tinted na kipupwe cha kutosha na kama gia ya manual ndo unasindikiza mkono kwenye paja badala ya kukuambia umekosea, anaanza kujichekelesha ili usitoe mkono.
 
Sehemu nyingine uswazi kuishi inabidi uwe na roho ngumu
 
Tatizo la mademu wa uswazi sababu ya njaa zao vigonjwa vya zinaa na UTI ni vitu vya kawaida. Vingine vinapenya mpaka c*ndom
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom