Mnyanyembe
Member
- Aug 13, 2015
- 6
- 2
Nimekutana na huyu mkaka ni miaka sasa, tulipima afya zetu. Siku ya kwanza kungonoka nae hakukuwa na romance kabisa, baada ya hapo hakunitafuta mpaka baada wa wiki mbili.
Nimemvumilia mengi sababu nampenda lakini naona mwenzangu hanijali na hajali kabisa hisia zangu, nikiumwa kwake wala sio ishu. Ingawa anajitahidi kunihudumia lakini ukweli ni kwamba pesa anayo, ila ile kujali mwanamke kama mwanaume wangu.
Hilo kwake halipo, zinaweza pita siku mbili hajapiga simu wala kutuma ujumbe. Na akija ibuka hasemi chochote ni kama hamna kilichotokea.
Kweli hapa kuna mapenzi au natumika tu kama chombo cha starehe