Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,310
- 5,157
MUNGU umeumba vitu vyote kwenye ulimwengu huu,ukavitakasa na ku vibariki lakini Kati ya viumbe vyako vyote,kuna huyu kiumbe bin Adam, ulimuumba kwa namna ya pekee kabisa,
Kuanzia body appearance nikimaanisha utendaji kazi wa viungo vyote pamoja na kumpa akili na maarifa. Pamoja na yote hayo,ipo namna ambayo MUNGU umempa upendeleo kwa kila kitu,mfano:kwenye mapenzi binadamu ana enjoy kila sehemu kuanzia kutongoza kwenyewe, romance na hata tendo lenyewe.sijajua kuhusu wanyama na ndege wanafaidi vipi,kwakuwa Mimi siyo zoologist,ila naamini sisi tumezidi kwakuwa tuna akili na utashi.
Lakini mbona mapenzi yanaumiza sana? yaani hata Mimi, lahaulaaaah! Mwenyezi MUNGU kwani ile adhabu ya like kosa pale bustanini bado tunaitumikia Hadi leo?
Hakika mapenzi yanaumiza,acha yaue watu,acha watu wakufuru,acha mtu ajute kuzaliwa? mapenzi kweli ni sumu,ee mwenyezi MUNGU Kama kila unachompa mja wako huwa unagawa kwa asilimia basi kwangu isomeke hivi, 0.00001 ili asilimia zilizobaki unijalie mambo mengine.
Yaani hata Mimi, sikufikiria hiki kitu kitani. Mwenye nyimbo ya bwana mdogo Belle 9 iitwayo sumu ya penzi aiweke hapa