Mapenzi yanaumiza

Mr Pato kila nikikujuza kunicheki unajisahau kumbuka tuliyoyafanya ndugu nicheki plz 0783848802
Kaka samahan sana siwez kusahau tuliyofanya nilipatwa tu na mitihan ya kidunia had inafikia mahali nasahau marafik zang wa karibu ikiwemo wewe
nisamehe tu...nakutumia msg sasa hivi.
 
1cor 6..soma yote
 
Ha ha ha jf bhana naipenda waomba ushauri wapi vizur hawtaki ujinga ujinga na Mara yingi wanajua majibu wanataka confirmation tu ya wadau humu
 
sijasema mimi ni mtakatifu,,, na wala siwezi kuwa......ushauri wa nini ........zaidi ya wazazi wako nani anaweza kukushauri......wacha kutumia makalio kufikiria ngono.......tafuta wa kwako....huyo sio.....bwege wewe....
Khaaaa mmechuuliana dem nn
 
Khaaaa mmechuuliana dem nn
hana akili huyo mlugaluga,,, hata lugha hajui,,, angekuwa na akili angeanzisha thread yake,,,kaingilia ya mtu kusema eti ana matatizo .... katakuwa kavulana tuu......ndo maana anapelekeshwa.....
 
Ila hayo mambo, mtu anaweza kuwa chizi, au ndo wale wanakunywa sumu, mana uwezo wa kuyahandle unatofautiana, sijui km kuna faida mtu anaipata anavyomuumiza mwenzie
 
Nyie wala hampendani, mngependana hakuna ambaye angeweka kikwazo chochote iwe cha dini wala nini.Mbona watu tumeoana na tuna dini zetu tofauti na miaka inaenda hakuna shida kila mmoja anaheshimu dini ya mwingine.
 
Ila hayo mambo, mtu anaweza kuwa chizi, au ndo wale wanakunywa sumu, mana uwezo wa kuyahandle unatofautiana, sijui km kuna faida mtu anaipata anavyomuumiza mwenzie
I real dont understand ndugu yangu
I came to realize why some of people decide to pull a trigger or take their own lives or curse someone
 
Yan usimshangae mtu wa hivyo, mana kafika mahali kashindwa kuvumilia, moyo unauma karibu kutoka, just play with anything not others feelings
 
Sio lazima kila anayepitia taabu ya mapenzi katika ndoa awe amefanya mabaya katika maisha yake ya nyuma. Kwanza hao manabii miye huwa siwaamini, wakati mwingine waumini wanalazimika kukubali unabii ili wapate maombezi
 
Ni wewe mwenyewe kuchagua kusuka ama kunyoa ndugu. Lakin always what goes around always comes around.
 
mhh, huu ukweli nao unaumaga, b`dam tunajitiaga kujaji mambo while tuna sin like nobody`s business
 
Sio lazima kila anayepitia taabu ya mapenzi katika ndoa awe amefanya mabaya katika maisha yake ya nyuma. Kwanza hao manabii miye huwa siwaamini, wakati mwingine waumini wanalazimika kukubali unabii ili wapate maombezi
Sio manabii tu, ongea na watu wazima, watakwambia, nini madhara yake,
 
Kuna kisa kimoja, jamaa alikuwa na girl kabla ya kuoa bint akapata mimba, kujigungua mtoto albino, akamkataa mtoto, badae akaoa mwanamke mwingine, hawajapata mtoto hadi leo, so think twice
 
The world is fair because it is unfair to everybody! People are not living their own life, full maigizo
inahitajika ukauzu ili uende nayo sawa, Unayemwamini kwa 100% ndiyo atakayekutendea baya kuliko asiyekujua,
Watu tuna maumivu yetu usione tupo kimya, Si Wapenzi, Si Marafiki saa zingine hadi ndugu!
Tulipofika unahitaji kuwa Kauzu zaidi ya dagaa Bhaasi!!!!
Swala la kumtenda Mwenzako inategemea na makubaliano yenu,
But take it from me Mambo hayako hivyo,
Rafiki yako wa karibu unamshirikisha mipango yako kumbe anakulia timing,
Msichana anamtambulisha Boyfriend wake kwa rafiki zake wa kike, walewale rafiki zake wanamzunguka!
Weka Ubinadamu Pembeni, Vinginevyo utapotea!
 
mhh, huu ukweli nao unaumaga, b`dam tunajitiaga kujaji mambo while tuna sin like nobody`s business
ofcoz like nobody b-ness,,,,but ukiharibu lazima tukwambie hapo/hayo sio,...
 
Ok for real its painful ila sipendi kumuumiza mtu coz i hate to hurted, its better kumwambia mtu ukwel doesn't cost anything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…