![]()
Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno
Habari ya muda huu natumai muwazima nyote. Moja kwa moja nisipoteze muda. Tukio la leo(jana) limenifanya nikakumbuka miaka michache iliyopita nilipoteza fahamu katika moja ya usafiri wa umma, kizunguzungu kikali sana kilinipata nikajikuta naanza kuyumba (kupepesuka)nilikuwa natafuta nafasi ya...www.jamiiforums.com
Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno
Nimeshaamka tayari mkuu
mapenzi ni nyokololo. Hivi kuna mtu ambae alishawahi jihusisha na mapenzi na hakuwai umizwa/umia?Hahaha......Yanaumiza kwa juu hapa karibu na mbavu..
Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
Yupo.bwana yesu
kwa nchumba yupi aliewahi kuwa nae? Nazungumzia mahusiano ya mapenzi(yale ya kuishia kukwich kwich)