Nataka nimpe ushauri wa nini afanye..😜Blaza punguza spidi
[emoji23][emoji23][emoji23] huwa unajitoa ufahamu wee, hivi mapenzi yanaumaje au yanaumizaje? Mie mbna sielewi.Weee usiniambie bhana...
Mapenzi hayaumizi. Anayekuumiza ni mwanaume uliyenae.Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.