yuclighty
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 676
- 326
Hii ndo inauma zaidiMbaya zaidi ukae na mtu halafu ana act.
Hii ndo inauma zaidiMbaya zaidi ukae na mtu halafu ana act.
Tusio na pesa ndo mapenzi yanatuzuzua. Ila wenye hela za bia huwa wanalewa kesho wanavuta barmaid anakaa mwezi mmoja baada ya hapo mziba pengo atakuwa ashapatikana
Mi nahisi hasa mwanume anayempenda mwanamke ambaye hampendi...
Mana akili hutoka yote afu anakuwa kama cartoon.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbaya zaidi kupenda usipopendwa dah!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]No feeling attached [emoji419][emoji419][emoji109]
Usiombe umpende mtu halafu,itokee siku akakuzingua.
Mkisikia mtu amejinyonga msichukulie poa mapenzi mabaya sana.
Sikia kwa wenzako tu.
Acha tuMapenzi ni kama siasa yan duuh[emoji28]na karne hii ndo tabu tupu kila mtu amekaa style ya kujihami[emoji1787][emoji1544]
nilicho enjoy n bidada kuvua nguo hapo zingine makelele nipeni bia zang nikalale[emoji2357]Usiombe umpende mtu halafu,itokee siku akakuzingua.
Mkisikia mtu amejinyonga msichukulie poa mapenzi mabaya sana.
Sikia kwa wenzako tu.