Mapenzi yanauma sana jamani

They say love is pain then honey.........

It kills me to know that you found somebody to love

Hio n mistari kwny baadhi ya nymbo za one republic, yanauma kweli
 
sijawahi kuona mtu akilalamikia,au mimi binafsi noti haijawahi nisaliti...tafuta hela mkuu
 
Pole sana aisee mkuu.. lazima upitie stage hizo katika ujana ..siku ingine jitahidi kucheza na akili yao na uwe na backup plan
 
Back
Top Bottom