Ujue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
Nikajua unachombo hapa kwa mkwawa mkuu.....nao wanaharakati nyingiHahaha mhehe gani mzee.....
Me sina pis hapo
Wakuzugia wana ng'ang:aniaga hao na mimba juuBasi muda huu tafuta wa kuzugia ata awe anakupa company kuchat usiku na kuongea.
Ila ilivuka mwezi utakua ndio basi. Bai ze way, there are plenty of fish in the sea!
afu ninyi ndo wanaume legelege nyie, mnatuaibisha wanaume. Unalialia nini mtoto wa kiume, acha mambo ya kishoga, tafta mwingine wanawake wapo kibao mpaka kero.Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!![emoji18][emoji18] ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma[emoji2955]
Huwa mnavunga hamuelewi manenoDuhh... Nainai ni nini mkuu!??
Bro wanawake wa siku hizi usiwachunguze we shukuru upo nae enjoy the moment...Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!![emoji18][emoji18] ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma[emoji2955]
Nikajua unachombo hapa kwa mkwawa mkuu.....nao wanaharakati nyingi
Hata miim nilisema ivo ila we AchaNilishaapa ,, nitalia kwa kitu kingine au kupigwa ila sio nilie kisa mapenzi... So God help me
MÊmENtO HoMO
Unazani wanaoliaga huwa wanapenda? Hiyo huwa inakuja tu kama chafya[emoji23]Nilishaapa ,, nitalia kwa kitu kingine au kupigwa ila sio nilie kisa mapenzi... So God help me
MÊmENtO HoMO
Ha ha haaa hawa wanawake hawataki u Nice guyAh kwa mkwawa nlipata moja ya maeneo ya mji mwema apo aaaaaah mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule ndio altaka kuniuwa[emoji23][emoji23]
Tafuta hela kenge wewe, wanaume wenye pesa hawana muda wa kulialia kwenye mapenzi.
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!![emoji18][emoji18] ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma[emoji2955]
sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi[emoji22]
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Ni udhaifu mkubwa sana mwanaume kuteswa na kulia kisa mapenzi.🤣🤣 nicheke kwanza maana wengine tukiandikaga humu tunaonekana maboya haya Sasa umeshikwa panapostahili kushikwa na bado utanyooshwa Bata wewe.. watu wamafumania kabisa we unashika namba tu kelele nyingi hivi!! Tulia wakuchezeshe ngoma ya lidende..😜
Ni udhaifu mkubwa sana mwanaume kuteswa na kulia kisa mapenzi.
Nyie watu mpo very weak emotionally. Inakuwaje mnapenda penda mpaka mnaumizwa na kulia lia? Mbona mimi sipo hivyo wakuu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] oyaaaasio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi[emoji22]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.