Pole Sana Mkuu...Vuta SubiraNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!![emoji18][emoji18] ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma[emoji2955]
Pole Sana Mkuu, Vuta Subira...sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi[emoji22]
[emoji38][emoji38][emoji38], we jamaa mpe faraja mwenzako...Anaweza akachanganyikiwa..Tafuta hela kenge wewe, wanaume wenye pesa hawana muda wa kulialia kwenye mapenzi.
Ndo maana unashauriwa kuwa na mwingine wa pembeni kama spare, ili huyu akizingua basi faster mwamba unahamia another side.Ujue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
Hapo hana ujanja umeshamzalisha. Value sokoni imeshashukaMy Experience
Na declare interest huyu baby mama wangu ninampenda sana. Mwanzoni wa uhusiano wetu tulikuwa tukizinguana hata kama yeye ndio mwenye makosa nilikuwa naomba msamaha mimi. Yeye kuomba msahama ni mzito kweli.
Basi Mungu sio athumani akapata ujauzito. Kama kumjali ndio nilizidisha mara 100. Yaan hapa sikutaka hata kugombana naye kabisa kidogo tu nisamehe hivyo.
Mtoto kazaliwa copy yangu. Ila sijui inatokea nini mwanamke akipata mtoto wako, kibao kimegeuka yaan kwanza hata kama nimezingua na najua nimezingua nakaza yeye ndio anaomba msamaha. Naomba msamaha pale tu ninapoamua kuomba msamaha. Nimemjengea kuwa nampenda ila akizingua tu naweza sepa vilevile.
Mkuu kuna mahala nimekwambia utulie😳😳Nani atulie kati yangu mm na wewe[emoji38]
Tulia dawa ikuingie mkuu
Ndo maana hata wenye hela huishia kujiua japo kwa nje wanaonekana kuwa na furaha na wameyapatia maisha.
Kwenye hii ishu ni kuupa muda nafasi yake na kupona taratibu vinginevyo kuna hatari ya kubakia bitter na mwenye makovu ya kudumu.
Pole. Nipo hapa ukihitaji msaada wa "kitaalamu" [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]I think I am bitter[emoji2308]
Hawa watu tupoje mkuuUtakuwa mjita wewe , maana wale watu wana viburi sana
Mkuu kuna mahala nimekwambia utulie[emoji15][emoji15]
Au umekosea kuquote??
Yesu anakuhitaji, acha uovu huoNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!![emoji18][emoji18] ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma[emoji2955]
Ndiyo maana nimesema mnaviburi sana, tena dharau kwa wanawake ni kubwa mnoHawa watu tupoje mkuu
Shida kuomba msamaha kwa mwanamke naona shida kubwa sana..
Show your manhood mnakuaje nyieDah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nicheke tusio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi[emoji22]
Mimi pia nimeshaomba sana msamaha na kosa ni la kwake. Saiv ni mke wangu ujinga huo nimeacha kabisaDah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.