Mapenzi yanauma jamani

Miaka mitano mlikuwa mnasubiri nini??? Au mlishaona umeachwa ndani ya ndoa??
 
Nnachoelewa mimi mtu hawez kukuacha ghafla namna hiyo,lazima tu dalili za kukuchoka zilianza mapemaa mno ila kwakuwa unampenda ulikuwa huzioni.chakufanya endelea with ure normallife tafuta mwingine anayekupenda.usirudie tena kumpa dhamana jambazi kama hilo
 
Waswahili wanasena mwanaume si baba ako.

Pole sana, maskini kakupotezea muda kweli. Una umri gani sasa maana ukichelewa kuzaa tena ni majanga.
 

MARAHABA
 
UTAVALIA NGOZI YA KONDOO NA WAOAJI AMBAO WAKO SERIOUS....... HAYA MAMBO NA BAHATI INAHUSIKA..
 
poleee mamii. sali saana coz yu hv a long way to go before umsahau,btw ni namna Mingu anakuita umuamini..yataisha
 
Mi mwenzio nataka mwanaume wa kijijini..awe mzungu sio mwafrika..inshort napagawa!
lijibaba over 30 halijielewi,linaact utadhan teenager anaeanza kubalehe,basi kijana wa umri wangu nae hajielewi hapiganii future yupoyupo tu....yani niache tu..maamuz ya kumove on alone ni magumu sana..
 
TATIZO MNAPENDA MASHAROBARO WALAMBA LIPSIII NDO MKOME KABISAA MATOZZZ SIO WAOAJIII EEEH MTATAFUNWA KAMA BIJIGIII THEN MNATEMWA. NYINYI MNAPENDA KISA ANASWAGAAA HAHAHAHA
 
majambazi wa mapenzi ni wengi hasa siku hizi vinginevyo ni kuishi kwa akili tuu bila kuinvest sana kwenye moyo ambao hauwezi kuuchunguza ndani ili kujua unachowaza.
 
yaan najiona mjinga yaan ila nitasimama tena najua adamu wangu nilie umbiwa atakua on my side soon ila wanaume jaman kha
 
Sisi wanaume huwa hatuna tabia kama za wanyama za kuwaacha tu wapenzi bila sababu lazima kuna kitu ulimfanyia kibaya must
hakuna bina damu alie kamilika kila mtu anakosea na tunaomba msamaha tuna sameheana sizani kama nifanya kosa la kutisha any way sijui his perception sababu hata mimi nimemsahe mengi alio nikosea and sikua nakumbuka kabisa,.....i always put gud things in my heart nikisamehe nasamehe na kusahau. na hakuna alie kamilika never
 
Kuna kitu Dada sio bure,mtu kukuacha hivihivi sio rahisi hasa kama mna mtoto,ni ngumu! Siku zote huwa nasema,pamoja na lawama na vilio mnavyotoa mnapoachwa na wanaume,tafuteni muda wa kujitazama na kujitathmini bila upendeleo kutambua mapungufu mliyonayo ili mvae viatu vya wenzi wenu muone kama mngeweza kuvumilia mtu alie kama nyinyi. Hapo ndipo mtakapoelewa kuwa hamuachwi bila sababu za msingi.
 
niPM nambA yako mdada nikupe maujanja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…