TrueDah kwa kisa iki ngoja ukuwe kidogo achana na mapenzi kwa sasa
Nani anajiona hajakuwaMi najiona nimekua
Zipo sana ila focus na vitu vya muhimu hivi huviwezi nje ya uwezo wako.Sasa mbona mnaniambia niachane na mapenzi kwani mimi sina hisia?
Haya kaka, nakutakia kila la kheri...!!Mi najiona nimekua
unaposema x inamaana kwamba mlishawahi kuwa wapenzi kisha mkaachana .Kivipi mkuu sijakusoma