Mapenzi yanatesa

Mapenzi yanatesa

Pole sana..
Hata mua ni mtamu ila kuna sehemu ukifika unakuta radha tofauti..pale kwenye fundo.
Kama mua ni mtamu hvi ila una uchungu wewe ni nani utamu wa mapenzi yako kusiwe na uchungu?

Vumilia mkuu, take in a long breath and exhale it.. kisha mfuate uongea nae taratibu mueleweshe. Atakuelewa! Wanawake umeumbiwa wewe mwanaume hatokushinda kumuweka sawa
Asante mkuu barikiwa [emoji119][emoji137]
 
Kila tamu haikosi chungu , hata Fundi wa umeme kuna muda hupigwa shoti... Anakaza moyo kisha kazi inaendelea kana kwamba hakuna kilicho tokea [emoji21]

Haya mapenzi aisee, kikubwa ni kuwa mvumilivu tu.
 
Kila tamu haikosi chungu , hata Fundi (engineer) wa umeme kuna muda hupigwa shoti... Anakaza moyo kisha kazi inaendelea kana kwamba hakuna kilicho tokea [emoji21]

Haya mapenzi aisee, kikubwa ni kuwa mvumilivu tu.
Mhh mapenzi ni hatari kweli kweli usipo kuwa makini utaandamwa na msongo wa mawazo mpaka basi
 
Wewe ni kitukuu, hujafikia hatua hiyo umeharakisha

NB: Having s*x is like putting a stamp to a document to legalize and finalize it
 
Hodi humu ndani nakuja kwa kishindo kama [emoji233] lakini na huzuni kama [emoji212] cha kuku kilicho achwa na mamaye.



Kama kawaida nianze na hiki kitu kinacho nisibu hadi sasa

Kuna x wangu ambaye nilimtongoza akakubali kuwa nami katika mahusiano, yapata miezi kama mitatu sahizi tupo katika mahusiano

Japo hatujawahi kufanya mapenzi mimi na yeye,,kuna wakati huwa namwambia kuhusu swala la mapenzi ananiambia nafasi ya kutoka pale nyumbani ndo ishu,vilevile anaachiwa watoto pale home


Japo ni beki tatu anabanwa sio mchezo

KISA CHENYEWE NI HIKI
Juzi nipo matembezi na binti mmoja ambae tunajuana kama rafiki yangu,tukiwa unapiga story nikiwa namsindikiza kwenda kwao yule binti

Mara paap huyu x wangu akawa kapita akatuona tukiwa pamoja japo Ilikuwa mida ya saa moja jioni kigiza kikiwa tayari kimetanda lakini alinijua

Basi wakati huo huo nikawa nimemuaga yule sister nikarudi zangu kuja kumsubiri huyu x wangu

Baada ya kumuona nilimuita lakini alionesha hali ya kutofurahia wito wangu nilimusihi asimame nimwambie kitu alisimama

nikamfuata nikamwongelesha lakini niliona tofauti na nilivyo mzoea ndo nikamwambia au umechukia ulivyo niona na yule binti

akawa hatowi majibu ya kuridhisha basi mi nikamwambia ukweli kuwa mimi wala sina mahusiano na yule binti, nilimubembeleza vya kutosha lakini hakunielewa nikaamua kumwacha

Leo asubuhi nimemuona maeneo nikamuzukia lakini chakushangaza haniamini ninacho mwambia na akaniambia eti kuwa mimi nina wapenzi wengi

Eti wengine huwa nawasiliana nao kwenye simu ambapo si kweli,sasa mi nashindwa kuelewa anamaana gani

au ndo anataka kunitema?
Yaani hataki kuniamini nacho mwambia kuwa si kweli

Aisee imeniuma sana
Msaada tafadhali waungwana
Nipo njia panda [emoji42][emoji7][emoji7]
Km yeye x wewe itakuwa Y .
 
Back
Top Bottom